mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,037
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO milele!!
Ndiyo maana kwenye mkutano wa NATO imeshindikana kuweka ratiba mahususi ya lini Ukraine itajiunga na NATO. Zelensky amenuna na kusema "This is absurds" (huu ni upumbavu).
Ndiyo maana kwenye mkutano wa NATO imeshindikana kuweka ratiba mahususi ya lini Ukraine itajiunga na NATO. Zelensky amenuna na kusema "This is absurds" (huu ni upumbavu).