kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Manzoki aiaga rasmi klabu ya Vippers, anaelekea Nchini China kujiunga na klabu ya Dallian FC. Juhidi za simba kuinasa saini yake zagonga ukuta

    Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege apate kazi shirika la ndege halafu mtegemee baada ya miezi minne aanze kuendesha mabasi ya...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni lini nafasi za kujiunga JWTZ zinaweza kutolewa?

    Habari wanajamii forums. Nauliza ni lini nafasi za kujiunga na jwtz zinaweza kutolewa? Natanguliza shukran zangu
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dili la Rabiot kujiunga Man United hatarini kukwama

    Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara. Veronique Rabiot, mama wa Rabiot ambaye ni wakala wa mchezaji huyo anataka mteja wake alipwe mshahara wa Paundi Milioni 6...
  4. Acehood

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kujiunga na chuo CBE

    Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa. Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
  5. DungaMawe

    JamiiForums Tanzania Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Christian Eriksen akubali kujiunga na Manchester United

    Kiungo mshambuliaji Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu. Kocha wa United, Erik ten Hag alimuona kwa ukaribu mchezaji huyo wakati anafanya mazoezi ya kujiweka fiti katika timu ya Ajax, Januari 2022 baada ya kuwa nje kwa muda...
  8. Vsanja

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 au chuo Awamu ya pili 2022/2023

    Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya kujulikana wiki ijayo

    Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen amewasili Ukraine, leo Juni 11, 2022 kwa ajili ya mazungumzo ya taifa hilo kuelekea kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, ikielezwa kuwa hatima yake itajulikana wiki ijayo. Von der Leyen amepanga kuwa na mazungumzo na Rais wa...
  10. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kipi haswa kilikuvitia kujiunga na Jamii forums

    Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine? Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
  13. Gama

    JamiiForums Tanzania Erdogan aweka masharti kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO

    Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi. Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul FUATILIA...
  14. dirtyboy

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  15. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  16. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Inaonesha sababu ya Putin kuishambulia Ukraine si kujiunga NATO

    Baada ya Finland na Sweden ku apply kujiunga NATO tulitegemea Putin aje na vitisho vile vile dhidi ya ukrain, lakini kanywea. Kwanini? Putin ni mtu muongo muongo sana. Putin anaitamani ukrain, angependa iunganishwe na Russia, ni vivyo hivyo kwa Moldova. Sababu ya kuingia kupiga mabomu ukrain...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Kujiunga NATO kuna faida gani

    Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine yakishuhudiwa kote duniani,bado kuna mataifa jirani na Urusi kama vile Sweden na Finland zimekuwa...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
Back
Top Bottom