Urusi yalialia kuhusu Uswisi kujiunga NATO, waliyataka wenyewe, NATO inawapumulia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi mabegani......na bado

The Kremlin said on Tuesday Sweden’s expected accession to NATO would have clear negative implications for Russia’s security and that Moscow would respond with similar measures to those it took after Finland joined the Western military alliance.

Spokesman Dmitry Peskov also played down Turkey’s decision to end its opposition to Sweden’s accession to NATO, saying that Ankara has obligations as a member of the alliance and that Moscow had had no illusions on this score.

Peskov said Russia and Turkey had their differences but also shared some common interests, adding that Moscow intended to develop further its relations with Ankara.

images - 2023-07-11T164318.073.jpeg

Unganisha old border ilipokua inaishia, na hiyo new border
 
Inasikitisha sana mtu anachukua muda kuandika huku hajui kuwa Uswisi sio Sweeden!!!!
Niliposoma kichwa cha habari nikashtuka,nikasema Uswisi hii ninayoijua ambayo haina jeshi?
Uswis ni switzerland na sio Sweeden!

My take:Muwe mnaleta habari kama zilivyo,mkianza kutia mbwembwe ndio hivi mnajikuta mnaingia chaka wenyewe!
Shame!!!!
 
Hehehe sheikh hizi hasira mbona zitawaua, mnapata presha hata kumzidi Putin mwenyewe, haya mod rekebisha weka Uswidi, badilisha "s" weka "d", hata hivyo taarifa hazijabadilika, Urusi yanamtokea puani, NATO inawapumulia.
 
Inasikitisha sana mtu anachukua muda kuandika huku hajui kuwa Uswisi sio Sweeden!!!!
Niliposoma kichwa cha habari nikashtuka,nikasema Uswisi hii ninayoijua ambayo haina jeshi?
Uswis ni switzerland na sio Sweeden!

My take:Muwe mnaleta habari kama zilivyo,mkianza kutia mbwembwe ndio hivi mnajikuta mnaingia chaka wenyewe!
Shame!!!!
Alipaswa kuandika Uswidi (Sweden). Uswisi ni Switzerland kama ulivyofafanua.
 
Katika vitu ambavyo huwa vinanichekesha ni tabia hii tabia ya wajaluo kupenda kubeba taarifa mitandoani na kuziamini bila hata kuzichakata. Ukifuatilia historia na uhalisia wa mambo utafahamu kwamba kujiunga kwa Uswidi ndani ya NATO kulikaa zaidi kisiasa na kipropaganda kuliko kiulinzi. Lengo kubwa lilikuwa ni kuzua taharuki kwa Urusi na kutuma ujumbe kwa Putin kwamba Ulaya nzima iko kinyume chake, jambo ambalo nadhani litakuja kuwagharimu Uswidi siku za mbeleni.

Kiuhalisia sasa, Umoja wa Kisovieti (USSR) ulikuwa ni tishio kubwa zaidi kwa nchi kama Uswidi na Ufinishi kuliko hata Urusi ya leo. Ila kinachoshangaza katika kipindi chote cha vita baridi Umoja wa Kisovieti haukuwahi hata kuitishia Uswidi. Kikubwa zaidi ni kwamba Uswidi hakuwa mwanachama wa NATO kipindi chote cha vita baridi na alikuwa hafungamani na upande wowote ule. Sasa Umoja wa Kisovieti wenye nguvu kubwa kiuchumi na wanajeshi milioni 4 isikuvamie, halafu Urusi iliyo dhaifu kiuchumi na yenye wanajeshi milioni 1 ndiyo ikuvamie ?

Leo Ukraine kajifunza somo gumu mno baada ya kunyimwa unachama wa NATO. Wamesema mpaka atimize vigezo ndiyo ataruhusiwa siku za mbeleni. Ujumbe uliotumwa ni kwamba "UKRAINE IS EXPENDABLE". Marekani na wenzake wanafanya hivyo kwa Ukraine siyo kwasababu wanawapenda sana bali kwasababu wanamchukia Urusi. Wamarekani walifanya hivihivi na The Mujahedeen, Iranian Ayatollahs, Saddam Hussein, Jonas Savimbi na sasa ni Zelensky. Bahati mbaya sana kipindi hiki matokeo yamekuwa magumu hivyo Ukraine lazima anyimwe uanachama.

Ukraine ingefanya vizuri kwenye vita "The Much-Anticipated Counter-Offensive", leo hii ingekuwa ishapewa silaha nzito na uanachama. Ukraine wakipewa uanachama ina maanisha NATO wote watakuwa wako kwenye vita na mrusi. Nani anataka vita baina ya mataifa ya kinyuklia ?​
 
Hivi anaye muogopa mwenzie ni nani Mrusi au Nato?

Kwaninii Nato wanaogopa Ukraine wasijiunge Nato wanaogopa nini
 
Usipanic,ndio hivyo ulikuwa hujui kuwa Uswisi sio Sweeden!Chukua elimu hiyo!

Yeah nakiri nilichanganya, nilikua tofauti ya Uswidi na Uswisi, lakini kwa namna ulivyolipuka na ku-panic aisei ndio maana huwa mnajilipua mabomu kizembe, anyway hoja inabaki pale pale, mtume wenu Putin kaingia cha kike, hasira zenu hazibadilishi kitu, NATO inampumlia kote kote.
 
Katika vitu ambavyo huwa vinanichekesha ni tabia hii tabia ya wajaluo kupenda kubeba taarifa mitandoani na kuziamini bila hata kuzichakata. Ukifuatilia historia na uhalisia wa mambo utafahamu kwamba kujiunga kwa Uswidi ndani ya NATO kulikaa zaidi kisiasa na kipropaganda kuliko kiulinzi. Lengo kubwa lilikuwa ni kuzua taharuki kwa Urusi na kutuma ujumbe kwa Putin kwamba Ulaya nzima iko kinyume chake, jambo ambalo nadhani litakuja kuwagharimu Uswidi siku za mbeleni.

Kiuhalisia sasa, Umoja wa Kisovieti (USSR) ulikuwa ni tishio kubwa zaidi kwa nchi kama Uswidi na Ufinishi kuliko hata Urusi ya leo. Ila kinachoshangaza katika kipindi chote cha vita baridi Umoja wa Kisovieti haukuwahi hata kuitishia Uswidi. Kikubwa zaidi ni kwamba Uswidi hakuwa mwanachama wa NATO kipindi chote cha vita baridi na alikuwa hafungamani na upande wowote ule. Sasa Umoja wa Kisovieti wenye nguvu kubwa kiuchumi na wanajeshi milioni 4 isikuvamie, halafu Urusi iliyo dhaifu kiuchumi na yenye wanajeshi milioni 1 ndiyo ikuvamie ?

Leo Ukraine kajifunza somo gumu mno baada ya kunyimwa unachama wa NATO. Wamesema mpaka atimize vigezo ndiyo ataruhusiwa siku za mbeleni. Ujumbe uliotumwa ni kwamba "UKRAINE IS EXPENDABLE". Marekani na wenzake wanafanya hivyo kwa Ukraine siyo kwasababu wanawapenda sana bali kwasababu wanamchukia Urusi. Wamarekani walifanya hivihivi na The Mujahedeen, Iranian Ayatollahs, Saddam Hussein, Jonas Savimbi na sasa ni Zelensky. Bahati mbaya sana kipindi hiki matokeo yamekuwa magumu hivyo Ukraine lazima anyimwe uanachama.

Ukraine ingefanya vizuri kwenye vita "The Much-Anticipated Counter-Offensive", leo hii ingekuwa ishapewa silaha nzito na uanachama. Ukraine wakipewa uanachama ina maanisha NATO wote watakuwa wako kwenye vita na mrusi. Nani anataka vita baina ya mataifa ya kinyuklia ?​

Liinsha lote hili umeandikia nani, kweli mnateseka, hata hivyo Putin kaingia cha kike, NATO inampumulia kote kwa ujinga wake.
Na akishaondolewa Crimea, hapo Ukraine nayo itajiunga NATO, kawaida sera za NATO haziruhusu nchi kujiunga ikiwa vitani tayari.
 
Hivi anaye muogopa mwenzie ni nani Mrusi au Nato?

Kwaninii Nato wanaogopa Ukraine wasijiunge Nato wanaogopa nini
Unahisi NATO ni umoja wa akina mama ukiwa na akiba ya ela ya mboga unakribishwa , ukiwa na civil wars au full war huez jiunga NATO
 
Liinsha lote hili umeandikia nani, kweli mnateseka, hata hivyo Putin kaingia cha kike, NATO inampumulia kote kwa ujinga wake.
Na akishaondolewa Crimea, hapo Ukraine nayo itajiunga NATO, kawaida sera za NATO haziruhusu nchi kujiunga ikiwa vitani tayari.
Wajaluo bwana...!
Kwamba Ukraine ikishachukua Crimea kutoka Urusi ndiyo vita itaisha hivyo watajiunga NATO ?
 
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi mabegani......na bado

The Kremlin said on Tuesday Sweden’s expected accession to NATO would have clear negative implications for Russia’s security and that Moscow would respond with similar measures to those it took after Finland joined the Western military alliance.

Spokesman Dmitry Peskov also played down Turkey’s decision to end its opposition to Sweden’s accession to NATO, saying that Ankara has obligations as a member of the alliance and that Moscow had had no illusions on this score.

Peskov said Russia and Turkey had their differences but also shared some common interests, adding that Moscow intended to develop further its relations with Ankara.

USWIS?
 
Katika vitu ambavyo huwa vinanichekesha ni tabia hii tabia ya wajaluo kupenda kubeba taarifa mitandoani na kuziamini bila hata kuzichakata. Ukifuatilia historia na uhalisia wa mambo utafahamu kwamba kujiunga kwa Uswidi ndani ya NATO kulikaa zaidi kisiasa na kipropaganda kuliko kiulinzi. Lengo kubwa lilikuwa ni kuzua taharuki kwa Urusi na kutuma ujumbe kwa Putin kwamba Ulaya nzima iko kinyume chake, jambo ambalo nadhani litakuja kuwagharimu Uswidi siku za mbeleni.

Kiuhalisia sasa, Umoja wa Kisovieti (USSR) ulikuwa ni tishio kubwa zaidi kwa nchi kama Uswidi na Ufinishi kuliko hata Urusi ya leo. Ila kinachoshangaza katika kipindi chote cha vita baridi Umoja wa Kisovieti haukuwahi hata kuitishia Uswidi. Kikubwa zaidi ni kwamba Uswidi hakuwa mwanachama wa NATO kipindi chote cha vita baridi na alikuwa hafungamani na upande wowote ule. Sasa Umoja wa Kisovieti wenye nguvu kubwa kiuchumi na wanajeshi milioni 4 isikuvamie, halafu Urusi iliyo dhaifu kiuchumi na yenye wanajeshi milioni 1 ndiyo ikuvamie ?

Leo Ukraine kajifunza somo gumu mno baada ya kunyimwa unachama wa NATO. Wamesema mpaka atimize vigezo ndiyo ataruhusiwa siku za mbeleni. Ujumbe uliotumwa ni kwamba "UKRAINE IS EXPENDABLE". Marekani na wenzake wanafanya hivyo kwa Ukraine siyo kwasababu wanawapenda sana bali kwasababu wanamchukia Urusi. Wamarekani walifanya hivihivi na The Mujahedeen, Iranian Ayatollahs, Saddam Hussein, Jonas Savimbi na sasa ni Zelensky. Bahati mbaya sana kipindi hiki matokeo yamekuwa magumu hivyo Ukraine lazima anyimwe uanachama.

Ukraine ingefanya vizuri kwenye vita "The Much-Anticipated Counter-Offensive", leo hii ingekuwa ishapewa silaha nzito na uanachama. Ukraine wakipewa uanachama ina maanisha NATO wote watakuwa wako kwenye vita na mrusi. Nani anataka vita baina ya mataifa ya kinyuklia ?​
wachache sana wenye akili,watakuelewa..
 
Back
Top Bottom