kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  2. Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  3. B

    MoU kati ya Tanzania na jimbo la China, bidhaa nyingi kuingia nchini

    MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
  4. H

    Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  5. Kama Tanzania haiwezi kuuzwa kwa nini kuingia mkataba kama huu kwa yanayowezekana?

    Kwani suala si kuongeza ufanisi kwa kuwa na miundo mbinu ambayo inaweza kusababisha kupitisha tani elfu 58. Je, hatukuweza kutafuta namna ya kupata njia ya kuboresha miundo mbinu? Bandari ni eneo la meli kutia nanga na kuweza kushusha mizigo. Hapa ni kuwa eneo la kutosha na vifaa vya kisasa...
  6. T

    Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
  7. Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  8. Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

    1. HIV -UKIMWI 2. Rhesus 3. Genotype 4.Hepatitis B 5. Hepatitis C 6. Magonjwa sugu 7. Magonjwa ya akili 8. Makundi ya damu 9. Magonjwa ya zinaa 10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi...
  9. Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

    Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine.... A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8 helicopters were reported shot down before entering Ukraine territory. Russian news outlet...
  10. Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  11. Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani. Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha Bali Ni la kawaida tu Ila naimani linafunzo ndani yake, moja kwa moja tuanze Sasa.. Wakati...
  12. 'Semi Trucks' za 'TESLA' zaanza kuingia sokoni, moja itauzwa Tsh. Milioni 587 kabla ya VAT na 'Shipping'

    Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.⁠ ⁠ First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.⁠
  13. Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  14. Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  15. Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala Harris

    Hizi ndizo habar za muda huu! Ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A220-300 yenye usajili wa namba 5H-TCM ikiyotokea Mbeya kuja Dar es Salaam imepigwa stop kuingia katika anga la Dar es Salaam mpaka Vice President wa Marekani atue na ashuke kabisa. Kwa mliopo katika mtandao wa Flight Reader...
  16. Nimezuiliwa kuingia hospitalini kisa ebola

    Habari za Asubuhi wakuu Leo nimejiimu mapema nikamwone Mgonjwa Hospitali ya wilaya ya Nyamagana Mwanza .. Cha ajabu nimezuiliwa na walinzi kwamba mtu anayeruhusiwa kuingia ni Mwenye chakula cha mgonjwa tuu ili kuepuka maambukizi ya ebola Swali langu limekuja je serikali imeshatoa tamko...
  17. F

    Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  18. Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  19. Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  20. Mliiponda Simba kuingia robo fainali Shirikisho, ila nyie mmeshangilia nusura mtoke roho

    Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho! Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…