The blessed one1
Member
- Dec 13, 2023
- 30
- 106
Habari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.
Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.