Wahamiaji haramu wa kutokea China wajaribu kutumia Mexico kuingia Marekani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,660
48,437
Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....

Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures​

Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023
https%3A%2F%2Fcms-image-bucket-production-ap-northeast-1-a7d2.s3.ap-northeast-1.amazonaws.com%2Fimages%2F2%2F2%2F3%2F8%2F47268322-4-eng-GB%2FCropped-1707747976DSC_0872.JPG

People from China and elsewhere who are suspected of illegally crossing the U.S.-Mexico border are detained by U.S. authorities in southern California on Feb. 4. (Photo by Masahiro Okoshi)
MASAHIRO OKOSHI, Nikkei Washington bureau chief
 
God bless America!Sasa mtu ang'ang'ane kukaa au kwenda China kufanya nini?
 
Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....

Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures​

Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023
https%3A%2F%2Fcms-image-bucket-production-ap-northeast-1-a7d2.s3.ap-northeast-1.amazonaws.com%2Fimages%2F2%2F2%2F3%2F8%2F47268322-4-eng-GB%2FCropped-1707747976DSC_0872.JPG

People from China and elsewhere who are suspected of illegally crossing the U.S.-Mexico border are detained by U.S. authorities in southern California on Feb. 4. (Photo by Masahiro Okoshi)
MASAHIRO OKOSHI, Nikkei Washington bureau chief
Wachina uchumi wao sasa hiv umeyumba sana. Yule rais wao hana tofauti saana na magufuli.
 
China serikali yao ndio ina pesa na kwa sasa inazitumia kwenye miradi ya hovyo ya kijeshi ambazo hazina manufaa kwa wachina na ndio maana wananchi wengi wa China wanaikimbia nchi yao na wengine kuishia kufanya umachinga kwenye nchi zingine.

Takriban asilimia 15 ya wachina ni watu fukara sana na hata kuweka mlo moja tu mezani unawapa shida kubwa sana.

Uuzaji wa bidhaa za China nchini Marekani unapungua kila mwaka na endapo Trump akirejea madarakani ndio hali itakuwa mbaya zaidi kwa China.
 
Ukitaka kuongea lolote kuhusu china fikiri kuhusu population yao kwanza
 
Back
Top Bottom