Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto.
Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia.
Cha msingi zaidi ni...
Habari zenu wadau wa JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania.
Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda.
Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda.
Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia.
2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba.
3. Sikubaliani na wananchi wenzangu. Awali ya yote hakuna anae jua R.G.ga ni shabiki wa timu gani zaidi yake yeye...
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy .
Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla.
Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima.
Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
TTCC ni jumuiya ya wanafunzi inayosababisha msukumo mkubwa katika eneo la elimu kwenye mandhari ya kipekee ya vyuo vikuu vya Tanzania. Jumuiya hii inakutanisha wanafunzi kutoka vyuo vikuu kote nchini Tanzania waliounganishwa na shauku yao katika teknolojia na ubunifu.
TECNO ni chapa...
Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
Kuna mtu mpaka sasa haamini kua watu wanapata pesa kupitia hizi kampuni za kubet, michezo sana sana slots na mingine kama Aviator na Zeppelin ya Sokabet.
Naomba niongelee kidogo na kwa ufupi bonasi inaitwa free spins katika slots na unavyoweza kuzipata.
Kwanza kabisa ijulikane ni ubashiri na...
Anasema hivi.....
See new posts
Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda.
Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli...
Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote.
Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari...
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote.
Wakati wachezaji wengine katika profile zao...
Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini
Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi.
Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele.
Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...