kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 5

    JamiiForums Tanzania Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

    Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
  2. Mr Fresh

    JamiiForums Tanzania Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

    Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili ufaidike na cryptocurrency lakini kuna mambo kadhaa ya msingi unapaswa kuyafahamu Leo nitakufundisha...
  3. Michaelchilleh

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  4. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Recruitment Agencies

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao Asanteni
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina. Swali? Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima? Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani? Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
  6. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

    Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi. Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu NMB

    Habari. Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale. Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata. Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujadli kuhusu zabuni

    Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha tofauti kama vile INVITATION TO TENDER,EXPRESSION OF INTERESTS,REQUEST FOR PROPOSAL,REQUEST FOR...
  11. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka. Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu. Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
  12. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  13. Midnight

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, Unafahamu nini kuhusu Patent (Hati miliki)?

    Leo naona nilite mada Chokonozi; Wengi tumewahi sikia maneno kama Copyright, Trademark patent na mengine kama hayo. Wengine tunayasoma tu tukifikiri na vibwagizo lakini kuna wengine wanayatumia katika kuhakikisha kwamba wanaweka rekodi sawa na zaidi wanazitumia kufanikiwa katika Biashara. Kuna...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu hii program ya Continuous Professional Development (CPD) ya 2020

    Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
  17. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuwajuza ndugu zangu kuhusu Norway

    Ni miezi imepita kidogo toka niwe nawajuza kuhusu Norway, hii ni kutokana na nilikuwa nasoma short course ya mambo ya Ship Surveying, nashukuru nimemaliza. Kazi za bandari ndio nyingi huku, hivyo ilinibidi kujiongeza ili kujiweka sehemu nzuri zaidi na sio kila mara kuwa kibarua. Japo najua...
  18. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  19. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu wawili hawa?

    Hapa ni Mh. Nape alipomtembelea Mh. Mwandosya nyumbani kwake na kupewa zawadi ya kitabu!
  20. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu suala la Machinga; bado utaratibu unazingatiwa na je, kuna miundombinu wezeshi?

    Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa. Tuwe wazalendo, tupendane. Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
Back
Top Bottom