kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  2. K

    Hawa wanasheria walioshika kuandikiwa charge ndio ushauri kuhusu mikataba na miswada?

    Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini. Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
  3. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  4. N

    Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  5. P

    Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  6. Analogia Malenga

    Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  7. Kaluluma

    Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  8. Ma Mshuza

    Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

    Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa. Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
  9. Baraka21

    Waziri Ndugulile tunaomba utusaidie kuhusu PAYPAL

    Mh. Ndugulile tunaomba utusaidie kupata huduma ya PAYPAL katika nchi yetu. Tunakukumbusha tu sisi vijana tusio na ajira itatusaidia sana hii huduma.
  10. T

    Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  11. Gordian Anduru

    Umebarikiwa mkono utoao

    kuna mchungaji mmoja (MCHUNGAJI RUN DMC) aliwahi kuzungumza vitu vitatu kuhusu utoaji akasema " 1. alisema UNAPOTOA, unaweza kua unaokoa maisha ya mtu; yaani kwa mfano chukulia umempa mtu shilingi elfu kumi halafu akaitumia kwenda hospitali 2. pili akasema UNAPOTOA unagusa watu; fikiria mtu...
  12. Mohamed Said

    The Torch on Kilimanjaro: kitabu cha watoto kuhusu Historia ya Baba wa Taifa

    "THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
  13. Roving Journalist

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  14. M

    Tutafakari pamoja kuhusu washirika wa Mbowe

    Nimeiona clip ya Mbowe akiingia mahakamani na akitoka pia.Nimesikiliza maelezo ya mrema kuhusu kilichojiri mahakamani.Nimewasikia kina mama wakiomba. Najaribu kuwaza hisia za watu ambao walibahatika kuwa karibu sana na Mbowe,Wilbroad Slaa ambaye alikuwa katibu mkuu aliyepitia misukosuko...
  15. Opportunity Cost

    Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  16. Miki123

    Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

    Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko). Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu. Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano. 1. MATUKIO YA...
  17. K

    Rais Samia anafanya kosa kubwa kama Hayati Magufuli kuhusu upinzani

    Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani. Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na...
  18. Kichuguu

    Maono ya Ujerumani Kuhusu Afrika Kabla ya 1884

    Sote tunaelewa kuwa mkutano wa Berlin wa mwaka 1984 ndio ulioigawa Afrika kuwa katika mipaka tuliyo nayo leo. Mkutano huo uliitishwa na Otto von Bismarck ili kuigawa Afrika miongoni mwa mataifa ya Ulaya ambayo tayari yalikuwa yana infleunce Afrika kwa nia ya kuondoa conflicts. Ujerumani ilikuwa...
  19. R

    Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
  20. Red Giant

    Maneno haya ya Winston Churchill kuhusu kodi na maendeleo yana ukweli wowote?

    Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua." Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?
Back
Top Bottom