Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,007
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu

Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi

Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo.

Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia. yaani kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi.

Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake.

Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman. Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?

Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu.

Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi

Naomba kuwasilisha
 
Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Rais ambaye amekaa miezi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
 
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu

Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi

Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo

Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia ....yan kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi

Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake

Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman
Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?

Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu
Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi

Naomba kuwasilisha
Ndugu Field Marshal Tantawi, kwa tathmini ndogo niliyo ifanya mara baada ya kutembelea mikoa ya Kusini mwa Tanzania mwishoni mwa mwezi Disemba nauona huo ni mwanzo wa mfumuko. Bado nafaka na mazao ya chakula nayo yatapanda tu, Tanzania uzalishaji ni mdogo huu mwaka. :D na nashukuru mama ameanza liona hilo ndio mana Jana aliwasihi Kilimanjaro waanze hifadhi chakula hali sio nzuri huko mbele.
 
Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Pamoja na kanuni ya demand and supply kuna uzembe unafanywa
mfano mmoja, walijua vifaa vya ujenzi vitahitajika vingi baada yakupata hela za Covid 19. Mbona Hawakufanya mpango wa kuongeza uzalishaji kubalance supply and demand. Tatizo liko kwa serikali zote mbili
 
kFP.jpg
 
Nani azalishe katika modern capitalist economy, serikali kazi yake ni kutunga sera na kukusanya kodi sio kufanya biashara, ni private sector na tasisi mbalimbali kufanya hiyo kazi ya uzalishaji, kama mwendazake alitimua matajiri na Kuwaiti shetani unafikiri nani angekurupuka kuwekeza mtaji wake?........uchumi wetu bado uko kwenye hungerover ya mwenda zake imani ndoimeanza kurudi taratibu bei itashuka automatically uzalishaji ukiongezeka ili tupate equilibrium price.
 
Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu
Sisi wana ccm hatuna shida yoyote na tunakemea vikali jaribio lolote la kutaka kuikwamisha serikali katika jitihada za kufungua uchumi🐒
 
Mtwara kilo ya nyama 12,0000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!
Nyama sio basic kwenye uchumi wa Tanzania wengi hawaitumie ata ingeshuka kwa 5000 kwa kg kwahiyo sio kigezo cha kupimia uchumi wetu
 
Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Ukweli ndio huu, ila sijui kama watakuelewa
 
Nani azalishe katika modern capitalist economy, serikali kazi yake ni kutunga sera na kukusanya kodi sio kufanya biashara, ni private sector na tasisi mbalimbali kufanya hiyo kazi ya uzalishaji, kama mwendazake alitimua matajiri na Kuwaiti shetani unafikiri nani angekurupuka kuwekeza mtaji wake?........uchumi wetu bado uko kwenye hungerover ya mwenda zake imani ndoimeanza kurudi taratibu bei itashuka automatically uzalishaji ukiongezeka ili tupate equilibrium price.
Likija zuri useme pia kuwa Mwendazake ndo alisababisha maana huyo wa miezi 9 hajafanya lolote! Si ndiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Kwa ufafanuzi wako wa ovyo kama huu bora nchi ikae bila rais kwa miaka hiyo mitatu kusubiri hali ijitengeneze yenyewe.serikali ndio yenye wajibu wakuboresha hali za wananchi wake.tena kama hii serikali ya sasa haina utetezi wowote kwasababu aliyebadilika ni mmoja tu,sera na mipango yote hiyo unayosema ilikua ya Jpm wanaijua na walikua wanaitekeleza kwahiyo kama walishindwa uko nyuma kamwe usitegemee hiyo miaka mitatu kutakua na jipya lakutisha nasio vyema kutupa lawama kwa Jpm wakati waliopo sasa ni wale wale waliokua watendaji wa Jpm.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Likija zuri useme pia kuwa Mwendazake ndo alisababisha maana huyo wa miezi 9 hajafanya lolote! Si ndiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri lipi mkuu? Mwendazake kaua sekita nyingi kwa kutaka sifa na umarufu wa kisiasa, hata vile vizuri alishindwa kuvifanyia business plan, kama ATC hamna anae isema ila inaingiza hasara kila siku.........mazuri yake ni ya kutafuta tu.
 
Back
Top Bottom