Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,470
5,467
Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi.

Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu analipa kodi pungufu au kuipunja serikali.Linatokea kwa kujua pale ambapo ama unaficha taarifa au unaghushi taarifa za kikodi ili kulipa kodi pungufu.jamo hili ni kosa kisheria na linaweza kuathiri biashara yako kwa namna mbaya ikiwamo kuotzwa faini na hata kufungwa.

Lakini pia kuna wakati inatokea mfanyabiashara anajikuta analipa kodi kupita kiasi yaani unalipa zaidi.

Masuala ya kodi ni tata sana na yanahitaji uelewa mkubwa wa falsafa ya kodi na wajibu na haki zako kama mlipa kodi.Elimu hii yakodi sio elimu rahisi kuelewa na kufuatilia lakini kama mjasiriamali ni muhimu sana ukaelewa masuala ya kodi yanayohusu biashara na huduma yako.Kuelewa masuala au sheria na kanuni hizo hata kama hulipi kodi kunaweza kukuwezesha kutambua wajibu an athari unazoweza kupata katika masuala ya kodi.Tabia ya kukwepa kodi ipo kwa wafanyabiashara wengine na wengine hushirikiana na watumishi wa mamlaka za kodi katika kuficha uhalifu wao.Kuna ina nyingi sana za kodi ambazo zinahusika katika biashara.Kuna kodi zinaitwa kodi za mauzo,kodi za zuio,ushuru na tozo za aina mbalimbali.kodi hizo zinakuwa sehemu ya gharama zako katika biashara.Ni muhimu sana ukaelewa ni kodi zipi zinahusika katika eneo lako la biashara kwani kuna baadhi ya kodi ambazo zinaweza kuhusika katika biashara ya aina fulani lakini zisihusike katika biashara nyingine.

Katika aina zote za kodi unazolipa serikali unapaswa kufahamu kwamba zipo baadhi ya kodi ambazo unaziingiza katika sehemu ya matumizi yako ya kibiashara hasa katika kampuni.Kwa mfano Ushuru wa aina zote na tozo za aina zote ni sehemu ya matumizi ya Kampuni yako.Kwa lugha nyingine unapoweka hesabu za matumizi ya kampuni kwa sababu za kikodi ni lazima ufikiri gharama za hizo tozo za ziada.Hata hivyo ni muhimu ukapata ushauri wa mtaalamu wa masuala ya kodi hasa iwapo gharama hizo zitaathiri kiwango cha kodi unachopaswa kulipa kwa zaidi ya asilimia 80%.

Vile vile kuna kodi ambazo zinaitwa kodi za zuio ambazo mara nyingi kampuni yako inakuwa tu kama wakala wa kulipa kodi kwa niaba ya mteja/mtoa huduma wako.Kodi hizi sio sehemu ya matumizi ya kampuni yako na zinapaswa kuwasilishwa serikali kila mwezi.Hata hivyo ipo kodi ya zuio ambayo ni maalum inayotozwa katika mauzo ambayo ina kodi ya ongezeko la thamani.Kodi hii ni tofauti na kodi nyingi kwa sababu ni kodi ambayo inatozwa kwa mlaji wa mwisho na wewe kama mmiliki wa kampuni sio mlaji wa mwisho,Unaposajiliwa kama mlipaji w kodi hii unakuwa unastahili kurejeshewa kodi ambayo wewe utalipa kwa wengine ambao wamesajiliwa kwa kodi hio.Inapotokea kiwango cha kodi ulichotozwa ni kikubwa kuliko ulichotoza basi unapaswa kufanyiwa Refund na ikiwa pungufu basi wewe utalipa.Hata hivyo zipo sheria za kodi ambazo zinaweka masharti ya namna namazingira ya kodi hii na u napaswa kuielewa pia vizuri hasa katika sekta ya uchumi uliyopo.

Unaofanya biashara yoyte jitahidi sana uelewe kwamba kila suala la kodi linalohusu biashara yako.Ni muhimu pia ukawa na mfumo wa kutunza kumbukumbu zako za kikodi. ili kunapotokea sintofhamu ya aina yoyote basi unakuwa na rekodi sahihi.

Mamlaka zao kodi kama zilivo mamlaka nyingine za kiserikali zina tatizo la RUSHWA.Vinara wengi wa rushwa hutumia ukosefu wa maarifa wa wafanyabiashara wadogo ama kuwaibia kwa njia ya RUSHWA na wakati mwingine kuwaingize katika kuvunja sheria za kikodi kwa makusudi.Kwa mfano.Afisa wa TRA anapokuwa kazini na kukushawishi kwamba badala ya kulipa kodi yako halali ya Shiling 10000 ulipe 5000 na yeye umpe 2000 basi jua utakuwa umelipa shiling 12000 ya kodi kwa hata afisa wa kodi hayuko juu ya sheria za kodi na kama sheria ya kodi inasema ulipe 10,000 utalipa 10000 kama sio leo ni kesho ila utailipa.

Washauri wa kodi na wahasibu ni watu muhimu sana katika masuala ya kodi.Hata hivyo ni muhimu sana uelewe masuala ya kodi ili uweze kutumia vizuri huduma zao kwani kuna wakati wanakuwa na tamaa na kutaka kuipitisha ile kodi inayoenda serikalini kwa kukuonesha njia haramu za kukwepa kodi.Hata hivyo wengi hutumia hofu yako na uelewa wako mdogo kukuonesha kwamba uko katika matatizo ili kukufanya ufuate miongozo yao.Ndio maana mara zote huwa nawashauri wote kwamba USIOGOPE KUTAFUTA MAARIFA KWANI MAARIFA HUKUONGEZEA KUJIAMINI..

Eneo lingine unalopaswa kujizatiti ni kutunza kumbukumbu zako za kodi.Kama unayo mashine ya EFD itumie vizuri.Siku hizi TRA wameruhusu watu kujikadiria kodi peke yako tumia fursa hio.Tunza rekodi za mapato yako,tunza rekodi za matumizi yako.Jilipe Mshahara.Kokotoa faida za kampuni yako kila mwaka ila ujue faida yako.Usiogope kuta ngaza hasara,usiogope kuchukua mikopo,usiogope kuwa na madeni kwani yote hayo unaweza kuyatumia katika taarifa yako ya fedha kuhakikisha kwamba masuala yako ya kodi yanakaa sawa.

Jitahidi sana matumizi yako ya kampuni yawe zaidi katika ASSETS na OPERATIONS.Matumizi yako binafsi tafuta namna ya kuyashield ili yawe na nafuu ya kodi.Hasa yale matumizi ambayo ni makubwa..

Nimechokoza mada karibu tujadili zaidi kuhusu uelewa wetu wa masuala ya kodi na namna bora ya kusimamia masuala yetu ya kodi.
 
SOMO LAKO ZURI NIMELIPENDA

Umejrib kutoa elim lakin nadhan ujafocus sana kwnye title ya hii maada.....

Pia nakwazwa sana na hawa watu wa TRA mana wanakupa makadirio yasiyosadifu uhalisia wa biashara yako.... Kias unachokadiriwa ni zaid ya uwezo wa biashara yako.... Mfano wanakuuliza at unauza kias gan kwa siku... Labda tuseme ni 30000 au 40K......unashaanga unaambiwa kodi yako ni 450000.....hapo bado kuna TBS 100K... bado lesin + levy 90k nk...... Ukipga hesab ya faida yako kwa siku labda ni 6000.....hapo hujala, hujalipa kod ya pango frem wala unakoish + bills zote...... Hv hawa watu huwa wanafkr vyote hvyo wanapokadiria kodi ya mfanyabiashara has kwa kuangalia mauzo tu.... Heb tupe somo hapo...
 
Mkuu,Niko kwenye Mada sema nimekuwa broad zaidi.Unapoenda TRA lazima ujue haki zako.Unayo haki ya kukataa makadirio yao na pia unaweza kujikadiria mwenyewe,Uamuzi ni wako.
 
Kujkadiria how mkuu..... Mana nilikataa katu katu hayo makadirio yao mapya mana kiuhalisia yataumiza biashara yang..... Mmoja akawa anakomaa kwamba ndo hvyo nikubal wengne wakawa wanatupiana mpra fail lng kuwa anikadirie mwngne..... Mwshowe nikaondoka bila muafaka
 
Hakuna ufahari wa kulipa kodi Wafanyabiashara tuwe wabunifu kuongeza faida na mitaji yetu
Kuna watu wanaitwa tax resisters hawa hawapendagi kulipa Kodi tu sababu hawazipendi Sera za serikali husika,yaani wako radhi hio hela ambayo wataikwepa kwny kulipa Kodi wakajenge hata kituo Cha watoto yatima lkn sio wao kulipa Kodi
 
Umejrib kutoa elim lakin nadhan ujafocus sana kwnye title ya hii maada.....

Pia nakwazwa sana na hawa watu wa TRA mana wanakupa makadirio yasiyosadifu uhalisia wa biashara yako.... Kias unachokadiriwa ni zaid ya uwezo wa biashara yako.... Mfano wanakuuliza at unauza kias gan kwa siku... Labda tuseme ni 30000 au 40K......unashaanga unaambiwa kodi yako ni 450000.....hapo bado kuna TBS 100K... bado lesin + levy 90k nk...... Ukipga hesab ya faida yako kwa siku labda ni 6000.....hapo hujala, hujalipa kod ya pango frem wala unakoish + bills zote...... Hv hawa watu huwa wanafkr vyote hvyo wanapokadiria kodi ya mfanyabiashara has kwa kuangalia mauzo tu.... Heb tupe somo hapo...
Kwa wafanyabiashara wadogo ambao mauzo Ni chini ya mil 100 kwa mwaka wao wanakadariwa kwa kutumia ('presumptive tax system).

Sasa jedwali la hio system Lina pande 2, wale wanaokadiriwa bila kuwa na utunzaji wowote ule wa kumbukumbuku na wale watakaokadiriwa kwa kutumia kumbukumbuku za mapato na matumizi Yao.

Ndio maana Ni vzr kutunza kumbukumbuku zako na kuonyesha Mauzo yako Ni Nini,gharama zako za uendeshaji Ni zipi na kinachobaki Ni kipi ili waweze kukukadiria kulingana na hesabu zako zilivyokaa.

Saa nyingine jamaa wa TRA hua wanakomaa tu kukadiria makodi makubwa ili wafikie target yao waliyowekewa na serikali.Ingawa pia nao saa nyingine Kuna factors wanazifikiria kabla ya kumkadiria mtu kwa mfano mtu sehemu alikopanga tu Kodi ya chumba analipa 400,000 halafu akija kukadiriwa analia Lia anataka alipe Kodi ndogo kabisa hapo jamaa hua hawaelewi somo.

Jedwali Hilo hapo chini mkuu.
Screenshot_20220205-072141.jpg
 
Jedwali Hilo hapo chini mkuu.View attachment 2108503
Hili jedwali kuna baadhi ya maafisa wa valuation hata hawalifati. Nmepandishiwa kodi na huku nikiwa sijarecord mauzo makubwa😄😄..yani watumishi wengi TRA wana assume in terms of Gross profit tu na sio Net profit kwa wafanyabiashara wadogo, which is very wrong..tunaishia kuumizana.
 
Mkuu,Fanya mwenyewe online.Inakupa uhuru wa kulipa kodi kwa kuzingatia sheria na utii wa sheria bila shuruti
 
Mkuu,Fanya mwenyewe online.Inakupa uhuru wa kulipa kodi kwa kuzingatia sheria na utii wa

Ndugu huwezi kufanya online kama mauzo yako yako chini ya 100m unless uko kwenye zile line ambazo sio lazima iwe imefika 100m kujikadiria na ukifika hapo lazima utengeneze audited financial ambayo nayo inagarama yake kuliko hiyo kodi ambayo iko kwenye presumptive kwa taarifa za kila unaweza kusoma hili bandiko Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni
 
Back
Top Bottom