kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Serikali iweke msimamo wake wazi kuhusu chanjo ya Corona

    Naomba serikali iweke wazi msimamo wao kama kuchanja ni lazima au hiyari,kwani hivi sasa kuna mkanganyiko mkubwa kati ya viongozi wa kisiasa ambao wanasema kuchanja ni hiyari lakini huko mahospitalini wagonjwa wanapigiwa hadi simu kwenda kuchanja kwa lazima kwa madai kwamba kuna utafiti mpya...
  2. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  3. G-Funk

    Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  4. Abraham Lincolnn

    Waziri Makamba jiuzulu, siku 10 za mgao wa umeme kupisha marekebisho zilishaisha ila umeme bado unakatika

    Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
  5. KENZY

    Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  6. Expensive life

    Baadhi ya mama ntilie wanatulisha uchafu

    Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana...
  7. Samvurah

    Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

    Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021...
  8. OMOYOGWANE

    Niliyomsimulia yote kuhusu yule mwanamke kaenda kuyafikisha kama yalivyo, ushauri tafadhari

    Wakuu habari, Roho inaniuma, moja kwa moja kwenye point. Kuna rafiki zangu wawili wa kiume tulikuwa tunapiga nao story wao wanafanya kazi kwenye taasisi flani yenye mabinti warembo wengi, niliwaambia wanipe namba yamrembo mmoja nijaribu bahati yangu, wakanipatia, Kutokana na urafiki wetu...
  9. John Haramba

    Kauli ya Fiston Mayele kuhusu Tuzo ya Mfungaji Bora 2021/22, mbio za Yanga ubingwa wa Ligi Kuu

    Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na kasi yake katika kuwania Tuzo ya Mfungaji Bora Msimu wa 2021/22: “Namshukuru Mungu kwa matokeo haya...
  10. Procurer

    Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  11. M

    Hesabu hii ndiyo inawaumiza Vichwa wa Magogoni na Chamwino na wale wa Kisutu na Lumumba kuhusu Gaidi wa Kusingiziwa

    1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama? 2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa? 3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025? 4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda...
  12. Zero Competition

    Msaada kuhusu mshahara wa Data Officer MDH

    Heshima kwenu wadau Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
  13. Carlos The Jackal

    Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  14. Wa kusoma

    Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk. Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
  15. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Biashara ya Software na Programming

    Habari za wakati huu, Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
  16. Kichwamoto

    Watu wanahalalisha matumizi ya mafuta badala ya kinga (Kondom), usalama wake upoje?

    Umofia kwenu wanajukwaa Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa. Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
  17. MakinikiA

    Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  18. Lycaon pictus

    Naomba kuelimishwa kuhusu metaverse, faida na hasara zake

    Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa? Ni nini faida na hasara za hii kitu?
  19. G-Funk

    Sheria inasema nini kuhusu faragha za watu?

    Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi. Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
  20. Masokotz

    Fahamu kuhusu Biashara ya kununua madeni

    Habari za wakati huu, Mwaka 2003 nilibahatika kuhudhuria mnada wa mtu aliyeshindwa kulipa DENI. Mnada huu ulifanyika huku familia ikiwa ndani ya nyumba kwa mkopo ambao BABA alichukua kwa ajili ya biashara na akashindwa kulipa. Kwanza tukio lile lilinishangaza sana kwani lilikuwa la...
Back
Top Bottom