Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,061
- 6,185
Naomba serikali iweke wazi msimamo wao kama kuchanja ni lazima au hiyari,kwani hivi sasa kuna mkanganyiko mkubwa kati ya viongozi wa kisiasa ambao wanasema kuchanja ni hiyari lakini huko mahospitalini wagonjwa wanapigiwa hadi simu kwenda kuchanja kwa lazima kwa madai kwamba kuna utafiti mpya unaonesha watu wenye magonjwa sugu kuchanja ni lazima,
Sasa sijui kuna mpango gani!
Sasa sijui kuna mpango gani!