Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri.
“Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana.
Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema.
98% ya...
Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika.
Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu.
Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua.
Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea.
Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika:
1. Installation charges ni TZS 300,000/-
2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu'
"Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015.
😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
SMS MARKETING STRATEGY
(Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi)
SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako.
AINA...
Contents za Rais
1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
Contents za Mh. Waziri Makamba
1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo,
Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu
Imebainika...
Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua...
Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani..
Kama Dunia inazunguuka mbona signal hazipotei?
Ili Hali tunajua kabisa dish likiyumba kidogo tu channels hamna?
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.