Watu wanahalalisha matumizi ya mafuta badala ya kinga (Kondom), usalama wake upoje?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Umofia kwenu wanajukwaa

Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa.

Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na pia jinsia me hutia kwa apexo (juu ya rungu max).

Inasikitisha kitu hiki cha mafuta kimekubalika na kuaminiwa na wanawake wanauliza kabisa unamafuta kama huna nipe pesa nikanunue.

Nimetembea mikoa ya pwani, pwani ya kusini, hii kitu mafuta imekolea condom haiuziki na hainunuliki.

Utamaduni wa hii kitu utaleta gharika mamlaka amkeni.

Swali kwa madaktari wa afya viral load inakuwaje kuhusu ishu ya mafuta na kinga dhidi ya wadudu? Usalama upo kiasi gani?

Madaktari tusaidieni jamii itaangamia, na kama inafaa basi kampeni ya matumizi iongezwe vibes.

Nawasilisha jipende jipende kupima VVU ndio mpango kila wakati na popote pale.
 
sasa wajinga kama hao tunawasaidiaje, ndiyo maana maambukizii ya UKIMWI hayapungui
 
Mafuta ya nazi yapo corrosive kwa mtazamo wangu! Haya ulaini na mara nyingi huwa yana particles za nazi kama vimchanga.

Ile kwenye mfukunyuano lazma ichane ngozi ya ukeni unless mafuta hayo yawe expensive yale ya 15K au zaidi ila haya ya buku 2-4 siyaamini!
 
Unatumia wewe alafu unasingizia watu mafuta ya nazi kwa wengine yanawazalishia harufu mbaya ukeni.HIV ni kweli imejificha kwenye friction na michubuano nashauri watu watumia hata OLIVE OIL haina allergy kwa wengi.ASANTE KWA KUNISIKILIZA
 
Umofia kwenu wanajukwaa

Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa.

Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na pia jinsia me hutia kwa apexo (juu ya rungu max).

Inasikitisha kitu hiki cha mafuta kimekubalika na kuaminiwa na wanawake wanauliza kabisa unamafuta kama huna nipe pesa nikanunue.

Nimetembea mikoa ya pwani, pwani ya kusini, hii kitu mafuta imekolea condom haiuziki na hainunuliki.

Utamaduni wa hii kitu utaleta gharika mamlaka amkeni.

Swali kwa madaktari wa afya viral load inakuwaje kuhusu ishu ya mafuta na kinga dhidi ya wadudu? Usalama upo kiasi gani?

Madaktari tusaidieni jamii itaangamia, na kama inafaa basi kampeni ya matumizi iongezwe vibes.

Nawasilisha jipende jipende kupima VVU ndio mpango kila wakati na popote pale.
hv hya mafuta ya nazi yakiingia ukeni hayana madhara
 
Wako vizuri. Japo science inahitajika kufanya research zaidi. Sasa si afadhali anayekataa kutumia condom ila anatumia mafuta ya nazi kama lubricant.. kuliko asiyetumia mafuta kabisa na condom zote hatumii?

sketch-1645829867743.png
 
Kinachosababisha maambukizi si ni ile michubuko? Sasa ukipaka wese kwene mtarimbo na k huo mchubuko unatokea wapi?
 
Back
Top Bottom