Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati.
"Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
Waafrika wengi tunadai kulalamika eti Morocco ametubagua kwa kusema ushindi wao ni zawadi kwa Waarabu na Waislamu na kuwaacha Waafrika
Hivi niwaulize ni tangia lini tumewachukulia Morroco kama Waafrika wenzetu?
Hawa watu sisi si ndio tunaongoza kwa kuwaita Waarabu? Hata mechi za CAF club zao...
Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji.
Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao.
Akiongea na Waandishi wa Habari...
Declaration of interest:
========
mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana.
======÷==
Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia.
1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima.
Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
Habari yako rafiki yangu,
Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO.
Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi.
Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha.
Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
Rais wa Kenya, William Ruto amemtaka kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kuacha kushawishi umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itakayoamua kuhusu makamishna hao ambao walipinga ushindi wa Ruto katika uchaguzi Mkuu wa 2022.
Kwa kutumia ukurasa wake wa Twitter, Ruto ameandika...
MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI
Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi.
Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.
Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani.
Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.