Imenilazimu nilete mada fupi hapa, kuhusu hili swali ambalo limenitatiza, tokea nilipoona limeandikwa magazetini.
Mimi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo nategemea kupata mchango mahsusi toka kwa walio na upeo juu ya mambo haya.
Nchi jirani imepata matatizo ya kupungukiwa na pesa ya kigeni...
Watanganyika na zaidi wanachadema, Kwanini hamukubali uchambuzi na misimamo ya Viongozi wenu linapokuja suala la Muungano?
Tumsikilize Tundu Lisu Kidogo
===
Sauti inayofafana na Lissu inayoongea kwenye audio hii imezungumza yafuatayo.
Mgogoro wa Muungano ulipo ni kutokana na uhalali wa...
Ni siku chache tangu hospitali ya Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) kutoa habari njema juu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo baada ya kupatwa na ajali ya kugongwa na basi la Mwendokasi. Kiukweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa sababu ameendelea kumuweka hai na salama mpaka leo...
Hello mamboz JF!
Mara zote ninapohimiza kutafuta pesa namaanisha sana tu kuhusu kutafuta pesa, uwe na pesa, uwe na amani ukiwa na pesa uwe na utulivu ukiwa na pesa uwe na furaha ukiwa na pesa, uwe mwenye afya bora ukiwa na pesa uwe na utulivu wa mwili, roho na nafsi ukiwa na pesa.
Ukiwa na...
Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi...
1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana wapi dar au nyanda za kusini..
2:- Kama zipo kampuni gani ni bora na imara...?.
3:- Gharama zake...
Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue.
Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha).
sasa hivi...
TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA"
@TBS_Tanzania
====
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati za ahsubuhi na jioni.
Mimi na baadhi ya wadau tunaamini kuwa huduma hii inapaswa kurahisisha...
Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...
1. Eneo linaloitwa kavambughu.
Hapa tuliwapiga wambugu kwenye vita na eneo hili lipo mpaka leo.
2. Eneo linaloitwa Nkhoma ya mkwavi au fuvu la mmasai.
Hapa wamasai walituvamia ikapigwa vita kubwa tukawauwa wote tukashinda vita na eneo hili lingalipo mpaka leo.
3. Jiwe la mkumbavana.
Hili ni...
Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !!
Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali.
Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members
Ni mwaka wa kupeana live bila chenga.
===
Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
Wadau nawasabahi.
Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9
Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati?
Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
Ushauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin...
Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki.
Niliishi na...
Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu.
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi...
Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa.
Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10.
Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.