kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu till za Tigo Pesa

    Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
  2. D

    JamiiForums Tanzania Vishkwambi walivyoahidiwa walimu vimeenda wapi?

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu kupata vimepotelea wapi. Ingekuwa Enzi za JPM:- (1) Vishkwambi vingekuwa vilishasambazwa muda mrefu. (2) Hakuna Kishkwambi hata kimoja ambacho kingekwapuliwa kama ilifanyika sasa.
  3. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  4. RAFA_01

    JamiiForums Tanzania Kama unafahamu chochote Kuhusu Zanzibar Boutique Hotels pitia hapa!

    Kama kuna Mtu ambae aliwahi Lala mahala au mfanya kazi ambae ana experience na hiyo kazi naomba atoe muongozo kuhusu Usafiri, gharama za vinywaji pamoja na chakula. Kama kuna Manager/ Accountant au yeyote ambae alishawahi kuwa kwenye Management ntafurahi sana akiweza kutoa some highlights...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BoT yatahadharisha wananchi kuhusu utapeli wa fedha mitandaoni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania kuwa makini na utapeli mpya unaofanyika kwa njia ya barua pepe unaoelekeza kulipa kiasi fulani cha fedha kuwezesha kupata fedha nyingi. BOT katika taarifa yake imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Bado siamini kama taasisi ya ikulu kuna washauri

    Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta . Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane...
  7. ChampN199

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Whatsapp

    Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp? Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana? Chief-Mkwawa
  10. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Wanavyowaza wana Yanga kuhusu ubingwa

    Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi. Akili zao...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tupaze sauti kuhusu uonevu na ukandamizaji wa mawazo huru

    Awamu ya 6 iweke wazi kuwa ni kosa la jinai kutoa maoni kinzani kuhusu mikopo inayochukuliwa na serikali toka mataifa makubwa. *Ndugai alivuliwa uspika. *Meneja TRC alipoteza kazi. *Askari alikutwa kajinyonga *Gerad Hando amepoteza kazi EFM. Kama taifa tunaelekea wapi?
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

    Habari zenu wana JF wenzangu. Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake. 1) Alishindwa kuwa mnafiki 2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu 3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja...
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu fermists(virusi)

    Kumekua na sumu mbaya sana inayosambazwa na wanawake wapotoshaji wanaojiita "wapigania haki sawa" katika andiko langu nitawatambua kwa neno "virusi". Hawa virusi wamefanikiwa kuchota akili za wanawake wengi sana kitu kilichopelekea athari mbaya kwenye jamii zetu miaka ya hapa karibuni mfano...
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kuhusu itikadi ya CCM

    Tulikubaliana ujamaa ni utu ni usawa na haki kwenye uchumi. Tulipogundua hatuwezi kujenga ujamaa kwa uwekezaji wa umma kwenye viwanda na biashara tukaamua kutumia sekta binafsi kwa uwekezaji wa ndani na wa nje. Kwa msingi huo mpango wa CCM ukawa ni kuendeleza umma kupata maendeleo ya kiuchumi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé

    Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
  17. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kwenda Nairobi

    Hamjambo wakuu? Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya? Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  19. Grahams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba kushauri hivi kuhusu Fedha za Boost kwenye Elimu kabla ya kuanza utekelezaji

    Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi. Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa, Maabara za shule pamoja na madawati ili watoto wetu wawe na mazingira rafiki...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
Back
Top Bottom