Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Apr 11, 2018
758
555
Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi.

Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha.

Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume dili nae, ama alimradi Dalali?.

Ni bei gani itatumika kuuza hisa, je ni ile ya siku ambayo tunaingia makubaliano na Dalali, au ni bei ya siku ile amepatikana Mnunuzi?. maana najua bei hupanda na kushuka.

Sasa kwa mfano kama siku nampa kazi Dalali bei ni 500, vipi baada ya siku kumi bei ikafika 700 na Dalali bado hajauza, kutakuwa na mabadiliko ama?.

Inaweza kuchukua wastani wa siku ngapi mpaka kuuza hisa?.
 
Unataka kuuza au kununua?.
 
Kwanza Chagua Dalali ambao wapo Regulated na serikalii yetu ujisajilii kisha watakusaidia kununua na kuuza hisa zako mfano Solomon brokers
 
Kuna Mtu kanipatia orodha ya Madalali kama 14 hivi...naambiwa nichague mmoja, sasa nachagua kwa kigezo kipi ndio najiuliza.

Ni nini tofauti ya Dalali mmoja mpaka mwingine?. je wanatofautiana uwezo wa kutafuta Mnunuzi, kwamba usipochagua Dalali Mzuri kuuza inachukua muda mrefu?.
 
Back
Top Bottom