kuhamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuhamia Canada

    Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada. Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula. Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

    Wakuu wasaalam Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

    Wadau, Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi. Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya. Asanteni familia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  5. Kunguru Mjanja

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Sudan kuikimbia mji Mkuu Khartoum na kuhamia Port Sudan

    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Generali El Burhan, amesema serikali kuu na Jeshi zinajiandaa kuhamia Port Sudan mji wa mashariki mwa Sudan. Hatua hii imekuja baada ya wanamgambo wa RSF kushikilia maeneo yote nyeti ya mji Mkuu Khartoum. Kiongozi wa RSF Generali Mohamed Daglo, ameionya hatua ya...
  7. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

    Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo. Tanzania ni...
  8. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi waandamizi wajipanga kuhamia ACT

    Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda. Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia upinzani nilidhani angehamia chadema. Kwa wasiofahamu , kuna kundi la wazee CCM wanafinalize mazungumzo ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  10. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaocheza michezo na vicoba wananufaiaika zaidi kuliko wanaume wanaobeti, Je ni muda wa wanaume kujitafakari kuhamia Vicoba ?

    Kote kuna "risk" za uso zipo ila uhalisia haujifichi, Kwenye vicoba kuna "Uwezekano / probability" kubwa kuzidi betting Betting ni janga kubwa sana hapa nchini kwa wanaume, watu wanakula sana za uso hadi huruma, lakini ndio wanazama kabisa uraibu inakuwa ngumu kuacha kama ilivyo ulevi wa pombe...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  14. tpaul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DNA za Uganda kuhamia Tanganyika?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW yameripoti kwamba kasi ya upimaji wa DNA kwa wanandoa wa kiume umepamba moto kwa siku za hivi karibuni na...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  16. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum (Fei Toto) kuhamia Azam

    Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi. Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha...
  17. MKARASINGA

    JamiiForums Tanzania Natamani kuhamia Dodoma

    Habari wanajamvi, Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete apongeza juhudi za Kuhamia Dodoma

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kwa niaba ya Wastaafu amemshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaalika kushuhudia uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma huku akisema leo historia leo historia mpya imeandikwa Tanzania “Historia imeandikwa tena imeandikwa kwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania CCM imekosea sana kubadili sera ya Ujamaa na kuhamia Ubepari

    LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
Back
Top Bottom