Nimeamua kuhamia Chemba (Dodoma)

MasiKa SAWA lakini kiangazi kikali sana!!

Utabahatisha TU mkuu!!

Labda ungesogea manyara kule!!

Kata na kijiji gani!!?Gwandi,Rofati au kidoka,au wapi Handa!!?
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.
 
Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoro
 
Achana na Chemba. Nenda Morogoro au Tanga.
 
Wadau,

Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.

Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.

Asanteni familia.

One soldier down.
 
Mkuu kwenya kijiji bado sijaamua ni settle wapi, naomb aushauri wako. Kwa sasa nimefikia kwamtoro
Kwamtoro-farkwa-Tumbakose-Rofati-Gwandi!!

Rofati Kuna wamasai kina msando,kilo n.k Kuna maeneo ya kuchungu ya kutosha kama kule wekense!lakini kiangazi nyasi zipo kiasi!!bends ujaribu mkuu!!!,2009/2010 nilikuwepo hapo!!
 
Nenda tanga maeneo ya mbele ya chalinze kidogo hapo , kuna eneo karibu na mto wami hauna watu wengi na kupo kijani mwaka mzima. Pale utalea mifugo utajirike bure
 
Hapo chemba Kama una mtaji wa kilimo ingia tu ndani kidogo lima Alizeti ukivuna uje kunishukuru.
Siyo mda nami ntakuwa hapo kwa ajili ya kilimo tar 29 au 30
 
Asante mkuu, unaweza nitajia eneo/kijiji kabisa? itakua msaada sana
 
Hapo chemba Kama una mtaji wa kilimo ingia tu ndani kidogo lima Alizeti ukivuna uje kunishukuru.
Siyo mda nami ntakuwa hapo kwa ajili ya kilimo tar 29 au 30
Sehemu gani mkuu kunafaa kw akilimo? unaweza nijuza vijiji? na ja mashamba yanapatikana ya kununua/kukodi?
 
Back
Top Bottom