Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,801
11,342
Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.

Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.

Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
 
Asiambiwe ukweli?
 
Wewe uliwahi ona wapi washabiki wa kila kitu wakiwa na akili?

Wao waulize mambo ya Simba na Yanga na Amapiano...
 
Back
Top Bottom