Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

jupiter001

Member
May 25, 2023
44
72
Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.

Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge, lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate, sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
 
Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.
Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge ,lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate ,sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
Watafika idadi ya waliohomia CCM mlipofinywa na mwendazake?
 
Kete ya mwisho yya CCM inatumika hapo
Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.
Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge ,lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate ,sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
 
Najaribu kufikiria. Chadema wakichukua nchi. Waanze kujilipa maumivu waliyoyapata tangu enzi za Mtei. Kila mtu atadai maumivu yake ili alipwe. Nikifikira hivyo. Heri ccm waendelee na wizi wao mnaousema.
 
Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.

Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge ,lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate ,sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
Lembeli ni muhuni fulani muvuta bangi pale kahama hana jipya kabisa. Sema mbunge aliyepo Ushetu baada ya kufariki Kwandikwa yaani ndiyo ovyo halina akili darasa la saba lijinga kabisa na tapeli halifai kabisa. Lembeli aendeleze mizimu tu hana jipya keshachoka. CCM 2025 inatafuta mbunge mwingine siyo huyu hohehahe aliyepo wala siyo lembeli lazima awe kijana msomi.
 
Hizi ni "tetesi" au utabiri usiokuwa na miguu?
Lembeli naye bado ni mtu wa kuzungumzia?
Na huyo "'Potential presidential candidate'"...; wewe unadhani kuna mtu yeyote CCM wakati huu mwenye kutikisa kiasi cha watu wa CHADEMA wampapatikie ki-hivyo unavyofikiri wewe?
 
Lembeli ni muhuni fulani muvuta bangi pale kahama hana jipya kabisa. Sema mbunge aliyepo Ushetu baada ya kufariki Kwandikwa yaani ndiyo ovyo halina akili darasa la saba lijinga kabisa na tapeli halifai kabisa. Lembeli aendeleze mizimu tu hana jipya keshachoka. CCM 2025 inatafuta mbunge mwingine siyo huyu hohehahe aliyepo wala siyo lembeli lazima awe kijana msomi.
Lembeli alikua bora 2010 sasa hivi amepungua sana makali
 
Back
Top Bottom