Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
Kwa mujibu wa Wanasiasa wa Upinzani Nchini Senegal, wamesema Kiongozi huyo ameachana na mpango baada ya kuwepo kwa shinikizo la kumpinga pamoja na maandamano yaliyoitishwa Nchini kote.
Rais akitoa uamuzi wa kutogombea amesema "Senegal ni bora zaidi ya mimi na ina viongozi wenye uwezo mkubwa...
Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama.
Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3.
Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025.
Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online.
Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030.
Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than expected.
Hana upinzani katika Chama. Na katika kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya...
Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
Habari zenu wana JF wenzangu.
Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.
Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai.
Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana. Sabaya amekutwa na hatia na amehurumiwa kwenda jela mwaka mmoja isipokuwa ni kifungo cha nje!
Sheria...
Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
ZANZIBAR
KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema:
"Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM".
Hata hivyo, kama...
Habari za leo watanzania wenzangu,
Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo.
Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana.
Ikikumbukwa hawa hawa Warusi...
Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila...
Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi.
Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa??
Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.