kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kuwaona wale 'Natural Failures' 70 waliokosa 'Uteuzi' wa 'Uspika' wakigeukia tena kutaka Kugombea 'Unaibu Uspika' wa Bunge

    Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni? Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Wanachama 11 wametia nia kugombea nafasi tatu zilizotangazwa kuwa wazi, ikiwemo ya Mwenyekiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya kulazimika kudhaminiwa na chama cha siasa ukitaka kugombea nafasi yoyote inatakiwa ikome

    Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa. Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake ni kama kwa sehemu wanachaguliwa na haya magenge. Fikiria kuna wagombea labda 3. Kila mtu/watu...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Marupurupu ya Spika yanawavutia wengi kugombea

    Sifa kuwa Spika, Ni uwe na sifa za kugombea ubunge tu. Wenzetu wanawapima elderly senior statesmen ambao wana track record nzuri kiutawala na kisiasa. Hapa kwetu wagombea watauana, wengine wataenda hata kwa waganga wa kienyeji. Yale marupurupu ya; 80% mshahara wa Spika Vieite (V8)mpyaa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  9. Sajo

    JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassani amewahi kugombea katika nafasi ya kisiasa akafanikiwa kushinda?

    Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe. Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Fomu za Kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT

    Wakuu habari zenu. Samahani naomba kufahamishwa utaratibu wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya Spika iliyoachwa wazi na Job ndugai kupitia chama cha Mapinduzi - CCM upoje? Form zinaanza kutolewa lini , na je mtu yeyote anayejiona ana sifa na ni mwanachama wa CCM anaweza kugombea ...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hawa walazimishwe kugombea Uspika wa JMT

    Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa nguvu wapende wasipende: 1. Joseph Butiku 2. Kassim Majaliwa 3. Palamagamba Kabudi (wazungu...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Duni Haji kumrithi Maalim Seif Uenyekiti ACT Wazalendo

    Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Duni maarufu kama ' Bob...
  17. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

    Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA? Mwenye Ufahamu atujuze
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ufilipino: Manny Pacquiao Atangaza Kugombea Urais - 2022

    Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza nia ya kugombea urais wa nchi hiyo mwaka 2022 ili kupambana na umasikini wa nchi hiyo Pacquiao aliingia kwenye siasa mwaka 2010 ambaye alichaguliwa kama Seneta amesema yuko tayari kuchuana na uongozi ulioko madarakani Ametangaza kuwapelekea suluhu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
Back
Top Bottom