Wana CCM waanza kuyamendea majimbo; wawagombanisha wananchi na wabunge waliopo. Baadhi ya wabunge wakata tamaa kugombea 2025

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya kisiasa.

Hali ipo hivyo jimbo la Hai, Moshi mjini, Mikumi, Tarime, Bunda, majimbo ya Mwanza, Baridi, majimbo ya DSM na baadhi ya majimbo ya Tabora ikiwemo Nzega, Igunga na Tabora mjini. Kwa upande Rukwa na Katavi hali siyo shwari na hi inatokana na ukweli kwamba wabunge wengi waliacha kushughulika na majimbo wakaweka makazi yao DSM. Kitendo cha mkataba wa bandari pia kimewaponza wengi huku ugumu wa maisha ukichochea hasira za wapiga kura.

Haya ni baadhi ya majimbo yenye mnyukano wa ndani; Je ikifika zamu ya mnyukano wa nje kwa maana ya wapinzania CCM na Serikali utavumilia?

Nini kifanyike miaka hii miwili imani irudi ?
 
Wakawaangukie wazee waliowadhalilisha ! KARMA Is REAL 🙏🙏🤓
 
Ccm ina wanachama wenye umoja sana sio rahisi kuvurugana kwenye maslahi

Ni sisi tu wananchi ndio hatuna umoja
 
Back
Top Bottom