Utafiti: Binadamu kaumbwa ili kugombea penzi (utulivu siyo asili yetu)

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo!

wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema

"Like charges repell and unlike charges attract"

binadam kaumbwa kugombea penzi kama ifuatavyo!
mfano!

Mwanamke mtilivu ikitokea kaombwa kuolewa na mtulivu mwenzake huwa haiwezekani

lazima huwa anamtoa kasoro tu...kwa visingizio mbalimbali kama vile... Hana hela, Siyo type yangu, mfupi, mwembamba, akili hana, kibonge, kapoa sana n.k

lakini AKIJA KUTOKEWA NA MWANAUME Machepele huwa hapindui! ...BAADA Ya hapo huwa KELELE HUKO MBELE akigombea penzi! Hii moja ya prove kwamba binadam kaumbwa kugombea penzi.

Mfano mwingine ni mwaume akipata kamama kapooole katulivu huwa hatulii ndani kabisa lazima atoke inje akatfte mchepuko wa kugombea yaani!
yaani yupo tayali aache mama msitaarabu ndani halafu akadange inje kwa wale maokoto chupi mkononi ilimradi tu agombee penzi!

kumfanya binadam mstaarabu aoane na mstaarabu ni kazi ngumu sana kwasabu siyo asili yetu
wasitaarabu kwa wasitaarabu kuoana ni vigumu mno kama ilivyo watata kwa watata!
 
Siyo kweli
 
Hizi tafiti
 
Hilo suala lipo uchi mkuu,maana Aliyetuumba angetaka tutulie angetuumba maroboti.
yes kwanni muoane halafu mtifuane maugomvi yasoisha ...
yaani watu mnaojuana na kulala uchi mnaanzaje kugombana kama siyo nature ndo inavyotaka
 
Ukikosea kuoa timbwili lazima Kama utaki kutoka nduki
 
Back
Top Bottom