Je akikataa kugombea itakuwaje?

Jesus Mlokozi

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
2,679
21,096
Mambo yanabadilika sana.
Sisi sote ni binadamu, tupo kiwenye mikono ya mwenyezi Mungu.
Je, haiwezekani kweli mpaka sasa hali ya afya siyo nzuri? Au jambo la kuonekana huko Dubai kisha Saudia siyo issue ya matibabu kweli?

Promotion ni kubwa mno nahisi kama kuna jambo tofauti kabisa. Naomba mnisaidie wale wenye kujua mambo.
Nasikia hata ile sherehe ya Mashujaa alibembelezwa sana na kisha kutumia dawa nyingi ili aweze kufanya kazi?

Sasa itakuwaje uchaguzi ujao? Je, kutakuwa na kugawana mbao? Maana kuna watu wamejipanga kuchukua nchi.

Naomba mwenye kuweza kutegua kitendawili hiki atuambie.
 
Mwanasheria wangu yupo ughaibuni
FB_IMG_16906211247724881.jpg
 
Mambo yanabadilika sana.
Sisi sote ni binadamu, tupo kiwenye mikono ya mwenyezi Mungu.
Je, haiwezekani kweli mpaka sasa hali ya afya siyo nzuri? Au jambo la kuonekana huko Dubai kisha Saudia siyo issue ya matibabu kweli?

Promotion ni kubwa mno nahisi kama kuna jambo tofauti kabisa. Naomba mnisaidie wale wenye kujua mambo.
Nasikia hata ile sherehe ya Mashujaa alibembelezwa sana na kisha kutumia dawa nyingi ili aweze kufanya kazi?

Sasa itakuwaje uchaguzi ujao? Je, kutakuwa na kugawana mbao? Maana kuna watu wamejipanga kuchukua nchi.

Naomba mwenye kuweza kutegua kitendawili hiki atuambie.
Ramli chonganishi
 
"Mbona kitabu bado!? FDR nae hakuna dalili!?"it's above your pay cheque! information from above to ground!

Wait for a few days!!

Bandiko la Tumia akili hivi majuzi linasadifu mwenendo wa ulichokiandika kama ni cha KWELI!!!

Kuna jamaa ANAITWA gentamycine aliwahi sema huyu anatafuta Tiba ya ugonjwa usioeleweka huko DUNIANI!!

"Eti we jamaa mbona akiwa huko malawi mbona anachechemea mguu wa kushoto yule TATIZO mini!!?

"Mi sikucheki hiyo kwani kweli anachechemea!?

Ni hayo tu,na duru za jamvini!!!
duniani!!!
 
Back
Top Bottom