Samia Nkurumah kugombea ubunge uchaguzi ujao

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,444
1695309395305.png

Mwanasiasa wa siku nyingi na mtoto wa mpigania Uhuru nchini Ghana, mwanamama Samia Nkurumah ameonesha nia ya kugombea ubunge eneo bunge la Accra Ghana tofauti na ilivyotegemewa hapo mwanzo.

Samia Nkurumah anategemewa kupata ushindi mkubwa kutokana na ushawishi alionao eneo Hilo la Accra ikilinganishwa na eneo lake la asili.
 
Kwahiyo tukusaidieje wewe uvccm?
 
Kwahiyo?
 
Back
Top Bottom