Mambo yanabadilika sana.
Sisi sote ni binadamu, tupo kiwenye mikono ya mwenyezi Mungu.
Je, haiwezekani kweli mpaka sasa hali ya afya siyo nzuri? Au jambo la kuonekana huko Dubai kisha Saudia siyo issue ya matibabu kweli?
Promotion ni kubwa mno nahisi kama kuna jambo tofauti kabisa. Naomba...