Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
200
435
Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu.

Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa shule aliyoihama baada ya kutengenezewa kashfa nyingi za utovu wa nidhamu huku uhalisia ukiwa ni kumzidi kete kiongozi huyo katika kummliki madam mmoja(jina kapuni). Jamaa alitengenezewa zengwe likianzia kwa boss wake akishirikiana na Afisaelimu kata mpaka mamlaka za kinidhamu ili kummaliza!Matumizi mabaya ya madaraka!

Kama siyo utu, busara,utulivu na werevu wa boss wa elimu katika halmashauri husika mwisho wa huyu mwalimu ungekuwa mbaya sana na mizengwe ingezidi kuna uwezekano angekuwa kwenye hatari zaidi ya kupoteza kazi!

Ushauri
1. Vetting inatakiwa sana katika uteuzi wa wakuu wa taasisi nyingi za kiserikali Mfano shule otherwise migogoro isiyo na maana itazidi kukua kwa kila iitwao kesho!

2.Wenye mihemko wasipewe mamlaka makubwa watakuwa wanaleta maafa!
Kina hawa wapo wengi sana nchini, busara zitumike zaidi kusolve migogoro kuepusha kuumiza wasio na hatia!

3.Mr x chapa kazi hapo Manyama nyama sec mpaka mbaya wako ajutie!

It's me mjukuu wa kigogo,a voice of voiceless people!
 
Huyo ndugu yako kaoa huyu madam au ndio kamla kamuacha? Enewei boss hajafanya fea ila vitani unatumia silaha uliyo nayo,mwenzio anamvuto boss ana cheo,yote kwa yote ni mbwa kala mbwa
 
Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu.

Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa shule aliyoihama baada ya kutengenezewa kashfa nyingi za utovu wa nidhamu huku uhalisia ukiwa ni kumzidi kete kiongozi huyo katika kummliki madam mmoja(jina kapuni). Jamaa alitengenezewa zengwe likianzia kwa boss wake akishirikiana na Afisaelimu kata mpaka mamlaka za kinidhamu ili kummaliza!Matumizi mabaya ya madaraka!

Kama siyo utu, busara,utulivu na werevu wa boss wa elimu katika halmashauri husika mwisho wa huyu mwalimu ungekuwa mbaya sana na mizengwe ingezidi kuna uwezekano angekuwa kwenye hatari zaidi ya kupoteza kazi!

Ushauri
1. Vetting inatakiwa sana katika uteuzi wa wakuu wa taasisi nyingi za kiserikali Mfano shule otherwise migogoro isiyo na maana itazidi kukua kwa kila iitwao kesho!

2.Wenye mihemko wasipewe mamlaka makubwa watakuwa wanaleta maafa!
Kina hawa wapo wengi sana nchini, busara zitumike zaidi kusolve migogoro kuepusha kuumiza wasio na hatia!

It's me mjukuu wa kigogo,a voice of voiceless people!
Huyo labda atakuwa mwamba GENTAMYCINE

LIKUD
 
Kwani hIyo vetting inafanywa na malaika?
 
Back
Top Bottom