kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Awamu ya sita watu wanatamani kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu ya tano. Je ni kweli!?

    Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa. Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

    Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  4. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

    Ibara ya 40(4) ya Kiswahili. Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nafasi zilizopo 11,000/= Walioomba. 200,000/= Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18. Interview ya Kwanza Written. Washiriki 200,000 Nafasi zinazogombewa 44,000 Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne. Interview ya Oral. Washiriki 44000 Nafasi zinazogombewa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

    na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema, duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mtacheza tena na Coast kugombea ile ile nafasi yenu ya tatu

    Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP nane kamili mchana wa jua kali la Utosi 😂 Utofauti Ulianzia Hapa… Mfadhili Wenu: Naomba...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Lissu anataka kugombea Urais na Mbowe inasemekana anataka kugombea Uenyekiti na Urais. Hawa watu dola iingilie kati

    Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema 1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi. Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe Mfano ifuatayo...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

    Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani. Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ? Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama Vipi...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kugombea urais 2025 ni kutwanga maji kwenye kinu na kuwanyima haki Watanzania wapenda mabadiliko

    Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela. Taifa hili...
  13. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mc Gara B kugombea jimbo la SEGEREA 2025 (tetesi)

    Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

    Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina, kujiridhisha na kuthibitisha kwamba, mazingira ya chama chake si rafiki na hayampi matumaini, hamasa, wala...
  16. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  17. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upi ushauri au maoni yako kwa anayekusudia kugombea nafasi yoyote nchini?

    Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu? Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma? Mwaka huu wa 2024...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
Back
Top Bottom