kufunga

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi

    Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  3. Extrovert

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni wakati sahihi wa Rais Magufuli kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?

    Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia. Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia. Shirika kubwa la afya la...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Burundi yatangaza kufunga mipaka yake kuanzia kesho kutokana na Covid 19

    Serikali ya Burundi imetangaza kuwa itafunga mipaka yake ya majini na ardhini kuanzia Jumatatu ijayo, ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameonekana kuongezeka wiki hii. Hatua hii imekua, baada ya wiki hii watu zaidi ya 40 kuambukizwa virusi hivyo ndani ya siku mbili katika...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya plastiki visivyo na nembo ya TBS visitumike kuanzia leo

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema vifungashio vinavyotokana na malighafi ya plastiki na ambavyo havina nembo ya Shirika la Viwango (TBS), haviruhuwi kutumika kuanzia leo. Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti; Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini? (1) Kama...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    Ni msanii mtukutu . Alipotea ghafra. Hatujui aliko. Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA. Nawasirisha tafadhari. 2020/2021
  10. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
  12. Kibosho1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Google yakataa kufunga channel ya YouTube kwa maombi ya Serikali

    Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni Google wamesema huwa wanafuata sheria za nchi lakini ni lazima iwe amri ya mahakama. Maombi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kufunga maduka mengi na shule kudhibiti Corona

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo. Hatua hizo ni pamoja na kufungwa kwa maduka mengi kuanzia siku...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe kuna umuhimu wa kufunga CCTV camera sakafuni zimulike juu, maana za juu wakati mwingine zinafeli kunasa!

    Nitawapa mfano; Maeneo mengi sana siku hizi yamefungwa kamera! Tembelea MALL zote hukosi idadi kubwa ya kamera! Lakini ajabu, Pamoja na wingi wa kamera lakini bado ripoti za wizi na udokozi zinaendelea pasipo watuhumiwa kupatikana! Mazingira ya matukio mengi yanayoripotiwa ukiangalia video...
  20. libeva

    JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya kubahatisha imulikeni kampuni ya MeriadianBet kwa kufunga akaunti za wateja

    Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu...
Back
Top Bottom