Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa gravity shambani.
Mbinu nyingine ni tanki kuwa chini tu kuepuka usumbufu wa kujengea juu. Badala yake anafunga pressure pump ili kuongeza pressure ya maji huko yaendako shambani.
Naomba wazoefu wa haya mambo mtuambie mbinu ipi ni rahisi zaidi na yenye ufanisi mkubwa, in terms of cost and efficiency.