kufunga

  1. Allan8

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoendelea USA ni sawa na kufunga goli baada ya kipenga cha mwisho

    Poleni na harakati za kila siku. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya. Basi kama kichwa cha habari kilivyo mimi binafsi ninaona marehemu hakutendewa haki. Wakati jamaa amewekewa goti juu ya shingo yake na askari Nina imani kulikuwa na mashuhuda mbalimbali eneo la karibu. Je...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  4. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil asema kufunga mji 'lockdown' ni kuua uchumi

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua ya kudhibiti #CoronaVirus kwa madai aliyosema kuwa ni mafua ya kawaida tu, aidha aliwahi kusema kila...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona . Lakini...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Salum: Misikiti isiyoweka vitakasa mikono, maji tiririka na sabuni kufungwa, atangaza kufunga ofisi ya Sheikh wa mkoa kwa siku 30

    Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa. Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana. Aidha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  11. digba sowey

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

    "Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
  13. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kufunga GPS anahitajika

    Habari za jioni ndugu zangu, naomba kama kuna mtaalaamu wa kufunga GPS tracking za vyombo vya usafiri mfano boda boda na bajaji na magari namuomba tuwasiliane aje PM tuyajenge. Angalizo: Sihitaji mwenye kampuni au mtu mwenye ofisi namtaka mtu aje nimwajiri mimi nina kampuni na nimepata tenda
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Marufuku kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona

    Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona. Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo. Source: ITV
  15. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Shule, ofisi zafungwa kwa siku 14 kutokana na maambukizi ya Corona

    Serikali ya Rwanda kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuchukua tahadhari mbalimbali baada ya kutangaza mgonjwa wa Corona nchini humo. Shule na taasisi za elimu ya juu zitafungwa kwa siku 14 kuanzia kesho. Kuanzia leo ibada zote zitafanyika nyumbani. Wafanyakazi pia wametakiwa kubaki nyumbani...
  17. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Radio ya Idhaa ya Kiswahili ya France International kufunga ofisi zake Wiki ijayo. Ushoga na Shirika la TBC vyatajwa kuwa visababishi

    Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya. Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

    Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa

    Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa. Katika makala iliyoandikwa katika jarida la “New England Medicine”, imebainishwa kwamba kula ndani ya masaa 6-8 katika siku na masaa...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
Back
Top Bottom