Tunakimbilia 'December' funga mwaka, kama malengo yako ya kuoa / kuolewa yamefanikiwa, tunakupatia pongezi; kama bado kufanikisha, tunakupa pole pia tunakushauri ujikague na ujirekebishe na usonge mbele. Kupitia uzi huu, jaribu kunadi sera zako ili wale wasiotaka kufunga mwaka wakiwa makapera...
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele.
Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao.
Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
Je wajua?
Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti
Didier Drogba
Samuel Etoo
Mohamed Salah
The Blues updates🔵
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”
Pia, soma:
Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .
Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8...
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark.
Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka...
Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano.
Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu...
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa.
Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo.
Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
Waalimu naomba mnisaidie hii,
Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.