kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Tunakataliwa kufanya maandamano ili watawala watawale kwa oppression

    Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya: Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala...
  2. K

    Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  3. H

    Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

    Habari wakuu..! Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali. Asanteni:
  4. May Day

    Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  5. Determinantor

    Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  6. M

    Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
  7. Orketeemi

    Link ya kufanya usajili wa Chanjo ya COVID-19

    Wakuu naomba mwenye kujua namna ya kufanya online registration ya chanjo ya COVID-19 aweke hapa link au namna ya kufanya huo usajili online.
  8. A

    Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

    Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa...
  9. Mstahiki Mea

    SoC01 Unavyoweza kufanya biashara bila mtaji

    Picha na mtandao Usuli Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
  10. Kilenzi Jr

    Vitu 5 vya kuzingatia ukiwa unataka kufanya udahili wa chuo au Chuo Kikuu

    Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi. Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100 Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili uweze kusomea unachotaka kusomea. Hivyo ni muhimu sana kuwa na sababu ya kwanini unachagua chuo...
  11. S

    DED Tunduru aamua kufanya unyama

    Kama ilivyoripotiwa jana mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru amempeleka mwl. wa shule msingi Mrusha polisi ameteswa huko polisi ameshinda njaa na mateso mengine yasiyoelezeka. Tangia asubuhi alishinda polisi usiku wa saa 4 alipelekwa na gari ya Halamashauri nyumbani kwake kupekuliwa...
  12. GENTAMYCINE

    Haji Manara acha Kufanya Wana Simba SC wote ni 'hopeless' kama ulivyo

    Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa. Kama hawa uliowataja hapa unawaheshimu na...
  13. MsemajiUkweli

    Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na...
  14. TheDreamer Thebeliever

    Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  15. Jackbauer

    Upo umuhimu wa kufanya toxicological analysis ya vifo vya covid 19

    Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
  16. funaku

    Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  17. Analogia Malenga

    Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  18. monga farm

    Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  19. KIDTVTC

    Kazi ya mauzo, usambazaji na kufanya kazi za Stationary

    Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na...
  20. K

    Viongozi wa serikali mnakwenda ibadani kufanya nini kwa mateso haya wanayopata watu wasio na hatia mabusu?

    Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
Back
Top Bottom