Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita.
Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015.
Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake.
Ila tumezidiana kwa kiwango fulani..
Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa.
Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki.
Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge.
Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu.
Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
Straight to the topic,
Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu.
Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo
Naomba...
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni.
Kazi za ndani kwa houseboy au house girl atahakikisha kabla ya ajira una sehemu ya kuishi ambayo unamudu kuilipia. Inawezekana ikawa...
Kama kichwa kinavyo jieleza
Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo.
Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha.
Ahsanteni
Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya,
Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha.
Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
Ndugu Waziri,
Takwimu zinaonyesha kuwa katika mambo yanayochangia pato kubwa la nchi yetu ni utalii. Kwa hiyo hii ni sekta inayopaswa kuchukuliwa serious sana na kuwekeza kwa nguvu zote ili pato la nchi liweze kuongezeka.
Kwa hiyo ndugu Waziri huu ni muda muafaka wa ubunifu na kuja na vyanzo...
SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO.
Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
Salaam wana jamvi,
Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja.
Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI.
Leo 11:11hrs 05/06/2021
1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25
2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
Habari wana JF,
Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke.
Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja?
Mfano:
1. Inafahamika kabisa swala la kuondolewa kwa "machinga" alishalipitisha siku...
Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira?
Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili...
Mungu awabariki..
Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari.
Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile.
Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo...
Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini.
Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.