Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

Mbomozo

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
361
940
Salaam,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote yenye department ya ICT vile nina HCIA (Huawei Certified ICT Associate) certificate in (5G, DataCom,Python and AI).

Pia naweza kufanya shughuli hizi,
- LAN switching configuration and troubleshooting.

-Configuration and troubleshooting of routing protocols

-website development

-Application Development

-Arduino Projects Configuration and Coding using C++ programming language

-Even i have experience in working as Tutorial Assistant

-Database maintenance and development using SQL

Kwa ufupi najitrain with experience kuwa full stack developer.

Wasalaam Ndg zangu
 
Mkuu kama hautojali pm au hapahapa naomba unishirikishe umefanikiwa wapi na muongozo kidogo huenda na mimi nikafanikiwa
Nimetembea kuzungusha cv na cover letter taasisi zaidi ya kumi Kwa wiki moja mfululizo then kiukweli nilikata tamaa baada ya kuona siitwi.Baada ya kuandika thread hii nilidhani nitapata ushirikiano but nilivunjika moyo kabisa maake response ilikuwa ndg mno na ushirikiano zero percent. One day 28th Nov nilipeleka CV Kwenye NGO kufika reception nikaambiwa niwait nisondoke na baada ya muda nikaitwa ofisin kwa recruiting manager na nimepewa ajira ya kuangaliwa.
Usikate tamaa tembea hujui riziki yako mungu ameiweka wapi.
Wa salaam
 
Back
Top Bottom