Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
4D34A5C5-C655-47A0-93CF-E55415C36E33.jpeg
 
Mimi hata sijakuelewa...

Unazungumzia TZS vs USD lakini ajabu ni kuwa unachomeka data za value ya KSH against USD..!

Sasa forget about KSH. Badala yake hebu tueleze basi, for how much has the value of TSHS has risen against USD this month compared to the last month...??
 
Kwani nani kakwambia hatufanyi vizuri against USD?
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu
View attachment 2034975
Nilidhani dhidi ya dollar, kumbe dhidi ya Kenyan money. Nonsense
 
Nisiseme maneno mengi!

Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia!

Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki yote kuliko yenyewe yanavyouza kwetu, Sasa shilingi ya Tanzania imeanza kuimarika dhidi ya shilingi ya Kenya jambo ambalo halijawai kutokea kwa zaidi ya Miaka 35.

Poleeni sana S gang! Samia anazidi kung’ara tu😀
View attachment 2034975
Sifa za kijinga kabisa, unaju miaka 15 hivi pesa ya kenya ilikua 10 hadi 7 kwa mia na leo ni 4.7 kwa mia sasa hiyo miaka 35 uliitoa wapi?
 
Back
Top Bottom