Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

Ni vizuri kufanya baada tukifata na kuzingatia mafundisho ya dini zetu sjui kama kuna dini inaruhusu uzinzi

Lakin pia kufanya kabla inasaidia kujua baadh ya vtu muhm kwa mwenzako ambavyo ukivijua baada vinaweza kupelekea ndoa kuvunjika kama vile mtu ambaye hakuridhishi kwasabab za kimaumbile ama kutokana na mfumo wake wa maisha,kuna ambao hawafunction kabisa lakin anapenda kuoa awe na mke
 
Inategemea na mahitaji ya kila mmoja,unaoa au kuolewa kwa ajili ya nini?kama unataka kuhalalisha ngono ni vyema mnyanduane tu kabla ili ujue panapovuja,usije ukaingia kwenye ndoa na mtu usiyeendana nae pengine mchovu mchovu au hawezi kabisa!!!!

Kibiblia ni heri kufanya baada ya ndoa,maana miili yetu ni hekalu la Mungu unapofanya zinaa/uasherati unalinajisi hekalu la Mungu!!! Zinaa ni Dhambi kubwa inayotendeka ndani ya mwili wa mwanadamu!!!
 
Ni kweli kabisa na ndio maana kuna mtu unambania ili afanye ukweli
 
Inategemea na mahitaji ya kila mmoja,unaoa au kuolewa kwa ajili ya nini?kama unataka kuhalalisha ngono ni vyema mnyanduane tu kabla ili ujue panapovuja,usije ukaingia kwenye ndoa na mtu usiyeendana nae pengine mchovu mchovu au hawezi kabisa!!!!

Kibiblia ni heri kufanya baada ya ndoa,maana miili yetu ni hekalu la Mungu unapofanya zinaa/uasherati unalinajisi hekalu la Mungu!!! Zinaa ni Dhambi kubwa inayotendeka ndani ya mwili wa mwanadamu!!!
Hivi Adam na Eva walifunga ndoa kabla hawajaanza kunyanduana?
 
Mimi nasema, ishi naye kwanza kabla ya ndoa ili uone Kama madhaifu yake yanavumilika.
 
Watakuja kusema ilikuwa zamani hizo, lkn sasa n sawa maana wanaenda na utandawazi napia watu wamekuwa s waaminifu kabsa anaweza kukupa msimamao mpka ndoa lkn kuna sehemu "ananyanduliwa" kila dk unakuja kuoa kishatumika had kmeisha mvuto(kimekua pango la wanyang'anyi)

Na kufanya kabla ya ndoa inasababishwa na uchumba sugu, mnakaa kwny uhusiano miaka 5 unafkir nn hapo!? Kama unahakika uko na ubikira wako unao ujasir wa kumuambia n mpk ndoa lkn kama washaanza jilia na chumvi usmbanie mwenzio mpe tu yy aamue kama ataoa amaa na yy atatembea kama wengne...........​
 
Tutaamini vipi kama bikira kwa maneno
 
Mtasubiri mpaka ndoa kama mwanamke ni bikra na kama mbususu ilishaliwa na wajuba hapa toa tu game ndoa itafuata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom