Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani.

Nipigie simu 0621604087

IKO HIVI
Kama una hela nenda Dar chukua Bannister glycerine 50mil kulingana na uwezo wako leta Dodoma, kwa Dar inapatikana kwa 83000 mpaka 83500 usafiri kutoka dar mpaka dodoma kwa carton ni 1000 jumla 84000 mpaka inafika hapa, kwa hapa inauzwa 90000 kwa carton ukileta hata 200 zinaisha ndani ya siku mbili mzigo umeisha mimi ni Salesman niko sokoni nakupa deal ya uhakika.

Ukihitaji usaidizi wa chochote ukishafisha mzigo wako unaweza nitafuta.

Ahsanteni mapambano mema katika kutafuta ugali

#Updates
KUNA MTU KALETA LEO KATONI SIJUI MCHONGO KAUPATA HUMU HUMU AU WAPI KAUZA BALAA..
 
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani..

Nipigie simu 0621604087
Umekosa watu. Mfano Majirani wanaokuamini na unaowaamini wa kufanya nao hilo? Hadi uje JF ambapo pamejaa anonymous people? Mtu akuletee huo mzigo KWA GHARAMA ZAKE ww ni nani? Acheni mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom