kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

    Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo. Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
  2. Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  3. Angalizo kwa wote wanaotaka kufanya uchafu siku ya leo

    Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama. Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu...
  4. S

    Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  5. M

    Marekani hajawahi kujifunza: Kufanya kitu kile kile ambacho hakijaweza kumletea matarajio aliyotegemea. They are not pragmatic!

    Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia maendeleo ya nchi inazozihofia kwa kuziwekea vikwazo kwa matumaini kwamba zitadhoofika kiuchumi na kuzifanya zisiendelee kijeshi hata kuzifanya zisiwe tishio tena. Mategemeo yake ni kuwa zitakuja kumpigia magoti na kumwabudu kana kwamba kuwepo kwao kunategemea...
  6. Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  7. Wasomi wanaona bora kuzurura na vyeti kuliko kufanya biashara ndogo ndogo

    Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
  8. Umewahi kufanya prank gani?

    Pranks si vitu vigeni. Tumefanya toka utotoni. Social media ni zimezifanya ziwe maarufu sana. Mimi ilikuwa hii. Tulikuwa na jamaa yangu tumetoka chuo Muhimbili tunaelekea Mabibo hostel. Ndiyo tunaanza shule. Tunatembea hadi mtaa wa Congo kuchukua gari za kutoka Mnazi Mmoja. Sasa kufika jengo...
  9. Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  10. Kwanini mtu akitoka Kufanya ngono hawezi kusali?

    Wakubwa Habari za muda huu? Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum. Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa...
  11. Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  12. Naombeni ushauri wenu juu ya mtu mwenye matatizo ya masikio anaweza kufanya shughuli ipi ikiwa ana mtaji wa fedha ?

    Habari zenu, awali leo niliweka maana >> hii << juu ya ndugu yangu ambae ana chang moto za kusikia. Kwa ufupi ni kwamba alizaliwa fresh ila akapata homa akiwa na miaka 9, alipigwa sindano ya kwinini kwa dozi iliyozidi matokeo yake taratibu akaanza kupoteza usikivu mpaka imekuwa ni tatizo kabisa...
  13. K

    Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

    Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
  14. Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
  15. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  16. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  17. Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu. Je...
  18. Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
  19. B

    Umepanga kufanya nini leo siku ya Pasaka?

    Kwanza niwatakie heri ya Pasaka kwa Wakristo wote duniani kote. Naomba niwaambie kitu katika siku hii ya leo muhimu duniani katika maisha yetu. Tunapoisherehekea Pasaka, tunasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo. Tunaambiwa kwamba bila ya Bwana Yesu kufufuka basi Ukristo usingekuwepo...
  20. L

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…