Wakuu kwema?
Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia.
Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa.
Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii.
Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.
Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?
Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.
Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa.
**************
Update
16:30
Simba imekamikisha...
Wakuu kwema?
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani?
Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini?
Mi napenda sana...
Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali.
Tofauti na Mkutano wa...
Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu.
Sasa nilipofika...
Nawasalimu,
Twende kwenye mada.
Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back.
Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi.
Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya...
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
Nawasalimu....
- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja
Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.
Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu...
Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023
Tanga mnatumika
Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu;
Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX.
Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.
"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
Inadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa.
Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni miongoni mwa watu wanaotishwa maisha kuhusu sakata la bandari. Wazee wanasema wao watadili na mwenye mbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.