HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
Habari wakuu
Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga.
Msaada wakuu ili niwe hewani.
Hello!
Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi.
Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi.
Watu wengi...
Wasaalam?
Ipo hivi juzi asubuhi Jumapili niliingia nyumbani nilikuwa SA kwa mambo ya kikazi, kufika nyumbani nilimkuta binti yangu wa kwanza pamoja na dada wa kazi kumuuliza mama yako yuko wapi? Akasema ameenda kanisani, nikamuuliza mbona hajaenda na watoto(watoto ni mapacha wana miezi 4)...
Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.
Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...
Habarini wakuu,
Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote.
Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika.
Nipo Dar Es salaam...
Kutegemeana na ukweli wa mambo, huyu mwanamama anaweza kushindwa kuhimili aibu na fedheha itayomkuta na hivyo anaweza kujiondoa wakati wowote ule kuanzia sasa.
Ushauri:
Ndugu na jamaa zake, hasa Mumewe kama ameolewa, wawe makini na nyendo zake kwani kwa sasa hawezi kuwa yuko normal kisaikilojia...
Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni.
Sasa chukulia ulikuwa...
Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba.
Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
Habari wana JF,
Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
Wakuu,
Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi?
Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe.
Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi.
Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
Kwa mujibu wa taarifa ya Gazeti la Daily news, Rais huyo wa Romania atawasili Nchini tarehe 16 Kwa ziara ya siku 3 ambapo pamoja na mambo mengine atafanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais Dk Samia.
==========
Rais wa Romania Klaus Werner Iohannis anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara...
Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali.
"Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa.
Naomba ushauri wenu nifenyeje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.