Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza;
~ Ni kitu gani nataka?
~ Kitanifanya nijisikiaje?
~ Je, kitanisaidia kusonga mbele?
~ Ni kitu gani ningependa kitokee?
Ukishajipatia majibu ya hayo...
Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma?
Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
SproutGigs
SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri.
Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja
Hakuna...
Hii ndio tafsiri yake...
Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi?
Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa.
Ukisikiliza bunge, ukiona...
Peace be with you all sons of Zion,
Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo:
1. Kwenda kwa waganga
2. Kushabikia mamipira
3. Kunywa pombe
4. Kumrudia mwanamke niliemuacha
5. Kumpunja mtu haki zake
Na wewe ongeza.
TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO
Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF.
Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0
Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
"Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
Wasalaam..
Nimekaa zangu gheto sielewi, mikeka inachanika nikakumbuka siku moja nlikula mbususu kwenye mazingira ya hatari sana.
Ilikua nimetoka club mida ya SAA nane hivi kuna manzi akaniomba lift nimpeleke kwao kidume nikachangamkia fursa.
Basi kwnye gari mtoto namuimbisha haelewi..kuja...
Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates.
Ama kwa upande wa school candidates wao yale...
Habari wana JF, natumai muwazima.
Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.
Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa...
Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.
Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale...
Kuuliza sio ujinga.
Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
Picha: Celine Dion
Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada ya kugunduliwa na misuli kukaza.
Mwaka 2022, Celine (55) aliweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa huo...
Hello!!
Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi.
Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
Mh Rais Samia Shikamoo.
Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara.
Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi...
Ukipiga asubuhi, ukaunganisha mabao mawili tayari unakuwa umeua watu wawili.
Ukipiga mchana moja, na usiku Raunds tatu, tayari ndani ya siku moja unakuwa umeua watoto sita.
Fanya idadi hiyo mara wiki, vipi ukipiga mwezi mzima utakuwa umeua wangapi?
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo.
Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...