kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiplayer

    Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
  2. Bemendazole

    Napendekeza tulimalize suala la bandari kwa kufanya yafuatayo

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwashukuru wote mliochangia mijadala mbali mbali ya kuhusu ukodishwaji wa sehemu ya bandari kwa kuwa nyote mlikuwa na nia njema ya kujenga na kulinda rasilimali za taifa letu. Lakini katika kutekeleza hili, kulionekana mapungufu mbali mbali kama yalivyo ainishwa...
  3. National Anthem

    Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
  4. BARD AI

    Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  5. Mwizukulu mgikuru

    Baada ya kutoa nilichojaaliwa kwa mtoto nimepata amani ya moyo

    Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili iliyopita nilikuwa nae katika mahusiano. Baada ya muda akawa amepata ujauzito na alikomaa kwelikweli kuwa...
  6. Nakimbizwa

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X. Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more...
  7. kimbendengu

    Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

    Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
  8. peno hasegawa

    Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  9. Replica

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  10. Tarimofundiumeme

    Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  11. M

    Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  12. GENTAMYCINE

    Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  13. Msanii

    Inawezekana huu ndiyo wakati sahihi kwa CHADEMA kufanya haya...

    Umofia kwenu nyote. Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba...
  14. F

    Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  15. Infinite_Kiumeni

    Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  16. Komeo Lachuma

    Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  17. T

    Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
  18. IamBrianLeeSnr

    Fahamu uwazi katikati ya Mapaja unaakisi nini Kuhusu Ustadi wako wa kufanya Mapenzi

    Hii ndio tafsiri yake... Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi? Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
  19. Kitchener

    2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

    Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa. Ukisikiliza bunge, ukiona...
  20. The unpaid Seller

    Maishani kamwe siwezi kufanya mambo haya, wewe ni mambo yapi huwezi kufanya?

    Peace be with you all sons of Zion, Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo: 1. Kwenda kwa waganga 2. Kushabikia mamipira 3. Kunywa pombe 4. Kumrudia mwanamke niliemuacha 5. Kumpunja mtu haki zake Na wewe ongeza.
Back
Top Bottom