Dunia ni tamu ila nifupi sana jitahidi kufanya yaliyo MEMA

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA.
Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA.

Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia.
Kwani tunaishi kwa masaa machache sana.

Usipende sana kuwa na MADENI sanasana yasiyo na lazima.
Usipende kugombana na watu.
Usitamani mari isiyo ya kwako.
Usitamani mke wa mtu.
Usiseme uongo
Usiishi kwa kupayuka na kutangaza yaliyo ya watu mbele hadhara.
Usidhurumu nafsi ya mwanadamu mwenzio kisa pesa gari na nyumba.
Havina maana yeyote. Kwani wakati na mda wa kuvitumia hivyo ni mchache.

MSISAHAU KUNIKUMBUKA NA KUNIOMBEA
 
Jambo la msingi hili,,,
Pambania NDOTO zako kama vile utaishi miaka 1000000, fanya mema na kumcha Mungu kama vile una lisaa limoja kuishi duniani.
 
Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA.
Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA.

Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia.
Kwani tunaishi kwa masaa machache sana.

Usipende sana kuwa na MADENI sanasana yasiyo na lazima.
Usipende kugombana na watu.
Usitamani mari isiyo ya kwako.
Usitamani mke wa mtu.
Usiseme uongo
Usiishi kwa kupayuka na kutangaza yaliyo ya watu mbele hadhara.
Usidhurumu nafsi ya mwanadamu mwenzio kisa pesa gari na nyumba.
Havina maana yeyote. Kwani wakati na mda wa kuvitumia hivyo ni mchache.

MSISAHAU KUNIKUMBUKA NA KUNIOMBEA
Are you okey buddy?
 
Kilicho kifupi ni dunia au maisha yako?

Kama gari haina maana kwanini tumejenga mabarabara kwa ela nyingi?
 
Back
Top Bottom