Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao.

Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na haijulikani miradi ya maendeleo inaisomamiwa na kujulishwa wananchi na nani.

Haya ya Kata kupitia uongozi wa CCM ni mbovu na hali inaendelea kuwa mbaya zaidi pale ambapo mbunge na uongozi wa CCM wilaya nao umepiga kimya.

Iwapo hali itaendelea kama ilivyo kuna kila Dalili Jimbo kurudi lilikokuwa.

CCM isipofanya mageuzibya kiungozi ngazi ya Wilaya kwa kuwahsmisha viongozi walio sinzia ofisini Jimbo linaondoka.

Mjumbe hauwawi!!!
 
Wapo katika kampeni za kowadi wao DP WORLD hawana habari na ninyi wanawapigania wezi wenzao kwanza
 
Back
Top Bottom