Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,466
17,308
Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa.

Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii.

Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
 
Wengi ni show-off kuna sehemu nzuri Tz za mazoezi ila sio highways kama wanavo fanya acha waendelee kugongwa
 
Barabara za Tanzania ni finyu sana na ukizingatia madreva wengi wa TANZANIA ni wapumbavu na wameishia la saba

Watu wa joging waache showtime

Joging wafanye kwenye barabara za mitaani
 
Back
Top Bottom